MUSIGAJI Magufuli hakurithi serikali bali alishinda uchaguzi kulingana na ilani aliyotumia na hivyo akaunda serikali ya kutekeleza ilani ile
Yoda kutokumalizika kwa ahadi za ilani siyo tatizo, ila kusitisha ahadi za ilani ni tatizo. Utasikiwa wanasema tumetekeleza ahadi zetu kwa asilimia kadhaa ikiwa na maana ya kuwa kuna ambazo hawakuweza kuzianza. Lakini kusema baadaye kuwa kuna ahadi hazikutekelezwa kwa sababu eti kiongozi amebadilia siyo sahihi kabisa.
maruudaniel Urais siyo personalirties bali ni institution ambayo ipo kikatiba. Katiba yetu inasema mtu kugombea urais lazima ateuliwe na chama chake, hairuhudu kila mtu kugombea urais ili kujijingea kihistoria. Ukiwa rais kupitia CCM ni lazima ufanye kulingana na sera za CCM