Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

Hapana kateuliwa na Lisu wakiwa na amsterdan na mbowe

Hapo sawa kumbe wewe ndio uliojichanganya....MAGU na SAMIA walishamalizana tangu tar 17 March 2021 ,Tarehe 19 March 2021 waTZ kupitia katiba yao ndio waliomchagua Samia kuwa Rais.
 
Na asipo yajibu mtafanyaje. Sanasana mtasema haampi kura. Na msipo mpa kura lakini akashinda uchaguzi mtafanyaje. Mtakuja kulalamika jamii forum. Jamii forum ikifungiwa mtafanyaje. Mtakubali matokeo na mtaendelea na shughuli zenu za kawaida. Yu will do nothing. Yu are battling with power in which it has a back up power in itself.
Mtafanyaje?
 
Kelele zimekuwa aendeleze ya Magufuli!! Mama sanuka, unaingizwa mkenge
Wamesahau kuwa hatukuchukua hatua kama Brazil hadi kafa, hatua kama hizi zilitakiwa kuchukuliwa mwaka jana ili hata kama hiyo 17/3 angekufa ingekuwa tumesha msulubu.
Screenshot_20210414-130224_Twitter.jpg
 
Kwa nn aende kinyume? Unataka airudishe nchi msoga..kwenye shamba la bibi au? Unataka aache kukamilisha mirad mikubwa ya kimkakati alioiacha jpm? Unataka wezi waanze kuiuza nchi yetu?

Kaa kimyaa tuache tuiendeleze nchi yetu.
Elewa nawe basi! Nani hayataki hayo?
Tu azungumzia yale yaliyo nje ya ilani ikiwamo mauaji, utekaji, dhuluma kupitia DPP, kushambilia kwa risasi, uonevu wa maDC na watendaji wengine na mengi ya kishenzi kama uhuru wa habari na kujieleza.
 
Kwani unahisi yametoka wapi mkuu hahaha😂😂😂
Kilicho sahihi kwa mmoja wetu kinaweza kisiwe sahihi kwa mwingine kutegemeana na uelewa na uzoefu pia....
Na ndio maana rais amesema hilo tulisahau kidogo
Yawezekana yatakuwa yametokea shetani.
Suala la kujenga amani ya kweli katika nchi na taifa kamwe halitakiwi KUACHIWA kutegemea hisia za mtu binafsi.
Ipo misingi KAMILI ya democracy na Katiba inayowezesha hilo.
AMEN
 
Akili yako umeoacha wapi na kiviacha vidole vijiandikie vyenyewe upupu huu! Kuna shida gani kuyaendeleza mazuri ya JPM! Yaani unataka mama atelekeze miradi yote ilioanzishwa na JPM?

Yaani unataka mama awaachie wala rushwa na mafisadi watamalaki[emoji35]! Yaani unataka mama uikane ilani ya uchaguzi aliyoinadi! Hivi watu wengine mkoje, mbona mnamchukia hivyo mama yetu huyu! Maana ni wazi, asipofanya hivyo ni sawa na kujitundika mwenyewe! Ova!
Wewe ni Zero sio Hero! Nani kasema ya maana yaachwe?
Kuna mambo mengi sana ya kijinga yalifanyika wakati wa Magu hayo ndio wapuuzi waliopo ndani ya ccm wanataka sana mama ayaendeleze na sisi tunasema NEVER AND NEVER AGAIN.
Mazuri ayafanye ndio malengo ya nchi na tunamtunza na kumlipa kwa kutimiza wajibu huo
 
Yawezekana yatakuwa yametokea shetani.
Suala la kujenga amani ya kweli katika nchi na taifa kamwe halitakiwi KUACHIWA kutegemea hisia za mtu binafsi.
Ipo misingi KAMILI ya democracy na Katiba inayowezesha hilo.
AMEN
Pole weee
 
Sasa kama mipango ya JPM kwanini alianza kupangua watu? Si angewaacha wale wale wa JPM ili amalizane miaka minne iliyobaki?
Mkuu kupangua watu sio ishu maana hata JPM mwenyewe alikuwa anapangua kilawakati.

Mama anapangua ilikupata team ambayo anaona itamfanya atimize ahadi walizo ziahidi kwa wananchi wakati wanaomba kura bas, hakuna kingine.

Pia kumbuka mama hajawahi kuzunguka nchi nzima kuahidi mambo mapya, ahadi bado nizile zile ambazo atatakiwa kuzitolea majibu 2025.
 
Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.

Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?

Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Kuna Vitu wananufaika wakumbuke kila Kitabu na Zama zake Mama Ana HIARI ya Kutawala Atakavyo Halazimishwi
 
Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.

Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?

Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Namshangaa mama Samia hajashtuka hilo. Kwanza kuanzia makamu wa Rais kila anapokwenda anaimba jina la Magu. Mawaziri wote wanaimba jina la Magu. Wote walioteuliwa na Magu hawaoni umuhimu wa Samia kwa sababu hajawapa chochote tofauti na walichopata kwa Magu. Kama ni uwaziri ni uleule, unaibu waziri uleule, n.k. Spika mwenyewe hayupo pamoja na Mama Samia Suluhu Hassan.

Yaani ubabe wa Magu uliwapa fursa nyingi akina Ndugai na wenzake. Wanaona kabisa kwamba ndani ya Serikali ya Samia anguko la wabunge wengi ni kubwa mno! Ndio maana unaona wanasema kwamba Magu aliwapa ubunge. Wanajua kabisa kwamba bila hivyo hawangeshinda ubunge hata kidogo.
 
Kipigo watakacho kipata CHADEMA 2025 hawataamini, waache waendekeze umbea. CCM wanagombana lakini linapokuja suala la uchaguzi wanakua kitu kimoja. Maana wanajisahau kujenga chama, wanaendekeza majungu
 
Mfumo wa upigaji tu hakuna jipya, wana hofu kama mama ataondoa mifumo ile, anaweza kuwatoa na watakosa kupiga hela. Lengo hapo nikumtisha Samia aone wapo wengi na awasikilize. Mitandao hiyo, SUKUMA GANG unajipanga.
Chagga gang wanalewa konyagi
 
Kipigo watakacho kipata CHADEMA 2025 hawataamini, waache waendekeze umbea. CCM wanagombana lakini linapokuja suala la uchaguzi wanakua kitu kimoja. Maana wanajisahau kujenga chama, wanaendekeza majungu
Wao wanajenga chama chao ila wananchi tunajenga nn? Hujiulizi
 
Chagga gang wanalewa konyagi
Unawafananisha wachaga wasomi na waelewa na nyie SUKUMA GANG msiokua na SHULE kichwani, hata siku hamjui ina masaa mangapi. .. kweli?!?!
Mtawachukia wachaga mpaka mwisho wa dunia, hamuwapati kwa lolote.. Ng'o.
 
Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.

Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?

Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Swali gani unauliza la kijinga? Watu walimchagua magufuli tena kwa kishindo kutokana na utendaji wake na namna alivyotekeleza ahadi zake. Hii ni awamu yake ila mwenyezi mungu kampenda. Kwa hivyo samia hana la kufanya kama anataka kukubalika lazima afanye kama magufuli. Akienda kinyume na kuwafurahisha fisadi na wapinga maendeleo ataiweka ccm mahali hatari.
 
Back
Top Bottom