relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Kwani mama ana mipango ipi mipya nje ya ilani ya Ccm na ahadi alizotoa mtangulizi wake,nikueleze tu mkuu CCM ni lidudu likubwa tena zee linapokosea linajisahihisha maisha yanasonga usitegemee kuona chama hicho kikiparangana mpaka wagawane fito.Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM...
Na nikueleze tu JPM ataendelea kuishi kwa wananchi na mioyo ya watawala watake wasitake JPM mmoja patazaliwa vi JPM kibao kama wewe ni mbabaishaji hama nchi tu na kama ikatokea chini ya utawala wa Mama ukaongezwa mshahara kama ni mtumishi shukran ielekeze kwa JPM maana bajeti ilishaandaliwa kabla hajaondoka.