Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Sheria inasemaje ?, mbona wanachelesha kumpa stahiki yake ?, ni nani hasa anaetakiwa kumpa huo uenyekiti ?Ngoja mama achukue uenyekiti kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria inasemaje ?, mbona wanachelesha kumpa stahiki yake ?, ni nani hasa anaetakiwa kumpa huo uenyekiti ?Ngoja mama achukue uenyekiti kwanza
Kwa nn aende kinyume? Unataka airudishe nchi msoga..kwenye shamba la bibi au? Unataka aache kukamilisha mirad mikubwa ya kimkakati alioiacha jpm? Unataka wezi waanze kuiuza nchi yetu?Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM...
Mkutano mkuu wa CCM 30th AprilSheria inasemaje ?, mbona wanachelesha kumpa stahiki yake ?, ni nani hasa anaetakiwa kumpa huo uenyekiti ?
Mkuu lazima hivi sasa muwe na mawazo chanya. Siyo kila wakati ni wa kukejeli. Tunahiaji Kiongozi mwenye kufuata Katiba na Sheria za Nchi.Kamanda hivi mnafikiri kwa upuuzi mnaweza kuifitinisha serikali? Muda unakuja, hamtapata mnayoyata mrudie kazi yenu ya ramli na matusi
Wala asisubiri mfungo uishe,Ngoja mfungo uishe.
Atawatimua woote wajuaji
Hayo ni maoni yako!Rekebisha hapo hakuna ilani ilowaweka madarakani ila walipora madaraka na kulazimisha ushindi.
dua la kuku!Wala asisubiri mfungo uishe,
kutimua waovu ni thawabu wakati huu wa mfungo.
Yale makatili yote ayafyekelee mbali na atapata thawabu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Akili yako umeoacha wapi na kiviacha vidole vijiandikie vyenyewe upupu huu! Kuna shida gani kuyaendeleza mazuri ya JPM! Yaani unataka mama atelekeze miradi yote ilioanzishwa na JPM?Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM..
Akili yako umeoacha wapi na kiviacha vidole vijiandikie vyenyewe upupu huu! Kuna shida gani kuyaendeleza mazuri ya JPM! Yaani unataka mama atelekeze miradi yote ilioanzishwa na JPM?Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM...
Siku 30 ni nyingi sana. Ana takiwa afanye kitu asapNgoja mfungo uishe.
Atawatimua woote wajuaji
Samia akitaka tumchague kiulainiiiii aseme katiba mpya mchakato utaendelea kama tutamrudisha 2025.....mchakato utaanza 2026....na kukiwa na Tume huru ya uchaguzi CCM byebye....then 2030 utakuwa uchaguzi bora kuliko zote na yeye atakuwa amemaliza nngwe yakeRais SSH amesema tusahau kidogo
Kwani mfungo unamzuwia kufanyakazi?Ngoja mfungo uishe.
Atawatimua woote wajuaji
Yeye Samia ni element ya nani?Samia alikosea sana kumuacha PM Majaliwa kwenye nafasi yake, pia wale ministers kama akina Biteko na Kalemani angewafutilia mabali kwasababu wale ni elements za magu na watamsumbua sana uko mbele, kwanza hawamuheshimu lakini pia hawamkubali
Kama jiwe kaanguka ,tunaimani hata yaliyobaki yataanguka kwa style yoyote ile kama kakuru na majalala boy.dua la kuku!
Na wewe siyo Samia sasa,Kama ningekuwa mimi Samia nafukuza wote hao vidudu mtu wa Magu kwenye system, yeye ndio ana power sasa hivi hakuna sababu yeyote ya kukaa pamoja na watu wanaotaka aeneleze mabaya ya mtangulizi wake, Samia fukuzia mbali hao wakora watakuharibia kazi, miaka minne ya urais inatosha sana wasikubabaishe na 2025 yao
Aliyoyafanya sio mambo ya kufikiria kwani ni mazao ya shetani baba wa uharibifu, na hii nchi sio yenu nyie ccmKwa nn aende kinyume? Unataka airudishe nchi msoga..kwenye shamba la bibi au? Unataka aache kukamilisha mirad mikubwa ya kimkakati alioiacha jpm? Unataka wezi waanze kuiuza nchi yetu?
Kaa kimyaa tuache tuiendeleze nchi yetu.
Hawatakiwi kuwepo kwa sababu gani?Kwani mfungo unamzuwia kufanyakazi?
Alitakiwa avunje Baraza la mawaziri mpema nakupanga safu mpya...