King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Si nimejibu hapo KAZI ALIZOTUMWA NA MEKO.na samia alikuwa anafanya kazi ya nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si nimejibu hapo KAZI ALIZOTUMWA NA MEKO.na samia alikuwa anafanya kazi ya nani??
Kwanini usiseme hata yeye mwenyewe ajitoe kwenye selikali kabisa.?
Hivi masalia ya meko ni yapi.? Au mnafikiri Samia anaongoza kwa tiketi ya bavicha?
Samia aliteuliwa na nani?Masalia ya MEKO ni Top Ranks aliowateua yeye.
Kocha mpya utengeneza timu yake asipofanya ivyo ohooNi ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.
Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?
Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Nini kimekufanya useme anakuwa Pre emptiedNi ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.
Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?
Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Kwa hiyo aliyokuwa anatekeleza mtangulizi wake yalikuwa ni Ilani ?, mboa alikuwa anajiendea tu ??, na ndio maana alikuwa akisema serikali yake, nyie hamna ilani kila mtu na lwake, yule alikuwa anafanya ilani ya chato, ndio maan leo wanaopinga aliyokuwa akiyafanya si ccm haohao, ?wewe na ndugai nani ccm zaidi ??Kumtenganisha mama na hayati ni ngumu, kwasababu mama kimebadilika kuwa rais tu,ila wote waliomba ridhaa na kunadi ilani ambayo bado haijafa.
Kwaiyo mama hana ilani mpya yakutekeleza labda kwenye mapungufu ni kuboresha tu
Samia aliteuliwa na nani?
Mtajichanganya sana tu!Samia na Magu walishamalizana ,kwasasa Samia ni Rais hivyo hajachaguliwa na MAGU.
Kama kweli HAYO yametoka moyoni mwake,Rais SSH amesema tusahau kidogo
Na asipo yajibu mtafanyaje. Sanasana mtasema haampi kura. Na msipo mpa kura lakini akashinda uchaguzi mtafanyaje. Mtakuja kulalamika jamii forum. Jamii forum ikifungiwa mtafanyaje. Mtakubali matokeo na mtaendelea na shughuli zenu za kawaida. Yu will do nothing. Yu are battling with power in which it has a back up power in itself.Aisee tulieni kidogo, mama anailani mkononi ambayo anatakiwa kuitekeleza kama walivyo ahidi yeye na Magu kwenye uchaguzi ulioisha. Asipo tekeleza walicho ahidi atakuwa ma maswali ya kujibu 2025.
Kwasasa sio rahisi kwenda kinyume na mipango ya jpm ambayo waliahidi pamoja kwenye kampeni.
Ndio atawaelewa TLS na CHADEMA walipomshauri avunje baraza yeye akakaidiNi ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM.
Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile timu ya wasaidizi wake ni ileile anaweza kuwa anafunikwa na blanketi na halioni hilo?
Je, ni kwa nini mbinu hizo chafu zinafanywa? Je, mama haoni kuwa kuendelea na wasaidizi wasio kubaliana kifikra kuwa yeye ni Rais kwa sasa itakwamisha mipango yake?
Mtajichanganya sana tu!
Na mkiendeleza kujdili ujinga namna hii hadi 2025 tutawagonga tena.
Lakini mama aliambiwa mapema kuwa ni hatari kwake kurithi wateule waliokula kiapo kwa mwingine ila yeye hakutilia huo ushauri maanani.
Wacha wamtese.
Hapana kateuliwa na Lisu wakiwa na amsterdan na mboweUnataka Kusema MAGU ndio kamteua Samia kuwa Rais?
Kama kweli HAYO yametoka moyoni mwake,
basi atakuwa ameacha maadili mema yaliyovuta hisia za wanaothamini UHURU, HAKI NA UPENDO wa kweli.
Kwani hapo ndio tutaanzia kufarakana nae.
Lakini bado sijaamini kama atakuwa mtu wa aina hiyo.
Amen
Mtafanyaje?Na asipo yajibu mtafanyaje. Sanasana mtasema haampi kura. Na msipo mpa kura lakini akashinda uchaguzi mtafanyaje. Mtakuja kulalamika jamii forum. Jamii forum ikifungiwa mtafanyaje. Mtakubali matokeo na mtaendelea na shughuli zenu za kawaida. Yu will do nothing. Yu are battling with power in which it has a back up power in itself.
Kama masikio yako ni kiziwi hata kuona huoni? Ulifuatilia kauli za jana na juzi za wabunge na mawaziri kama Mwigulu?Toa mfano angalau wa mambo matatu tu.
Maana kama ilani inayotekelezwa ni ile ile ya 2020 - 2025 sijui unategemea apite njia ipi.
Kwa yale ambayo sio ya ki- ilani ni lipi amelazimishwa kulifanya?