Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

Unawafananisha wachaga wasomi na waelewa na nyie SUKUMA GANG msiokua na SHULE kichwani, hata siku hamjui ina masaa mangapi. .. kweli?!?!
Mtawachukia wachaga mpaka mwisho wa dunia, hamuwapati kwa lolote.. Ng'o.
Hahahaaaaaa . . . ngoja nipite tu kwanza. Nitarudi kwa kishindo one day
 
Magufuli alikana ishu ya katiba mpya, akasema hakuinadi wakati ipo ndani ya ilani aliyokabidhiwa (ya mwaka 2015)
 
Unawafananisha wachaga wasomi na waelewa na nyie SUKUMA GANG msiokua na SHULE kichwani, hata siku hamjui ina masaa mangapi. .. kweli?!?!
Mtawachukia wachaga mpaka mwisho wa dunia, hamuwapati kwa lolote.. Ng'o.
Hahahaa nimefurahi, dunia ya leo sio shule uliyonayo kichwani ni vile unaweza kutumia rasilimali chache zilizopo kukunufaisha. Wachaga wasomi wapo, wachaga mbumbumbu na walevi kama 'mwenyekiti' pia wapo
 
Haya Da Maria Sarungi
 
Ukipata bahati ya kufahamu nia ya ndani ya mtoto wa Joseph ndio utawaelewa, kwa nini wako hivyo.
 
Mamluki wa jiwe watampa tabu sana akichelewa kufanya kweli dhidi ya mamluki basi itakula kwa Mama.
As long as amewaacha mamuluki akia Kasim, basi ameliwa . she has to take note of that!
 
Aliyoyafanya sio mambo ya kufikiria kwani ni mazao ya shetani baba wa uharibifu, na hii nchi sio yenu nyie ccm
Nchi ni yetu bwashe. Asikudanganye mtu huo ndo ukwel. Yaan mtahangaika hukoo mwisho wa siku ikulu inajulikana nani anaenda
 
  1. JPM alikuwa ni tinga tinga, amechonga barabara, na kupanda milima hadi juu ya mlima, sasa Samia ndio ampokea pale Mlimani yeye ata serereka tuu kwenye mteremko hivyo anakuja kuimalizia kazi ya JPM na atajenga Tanzania nzuri kuliko ile ya JPM.
  2. Ni kweli JPM ni nabii iliyeletwa na Mungu kuinyoosha Tanzania, na ni kweli ameinyoosha. Sasa Samia anaichukua nchi iliyo nyooka.
  3. Yes JPM alikuwa ndio mwanzo na mwisho. Mwanzo ni Mungu amemleta Tanzania na mwisho ni Mungu amemchukua. Hivyo JPM ni mwanzo wa JPM na akafikia mwisho wa JPM.
  4. Ni kwenye aliletwa na Mungu na tusimpuuze, sasa ni Mungu mwenyewe amemchukua na yuko kwa Mungu Baba wa mbinguni.
  5. Mungu aliyemleta JPM ndie aliyemleta Samia, hivyo sasa Samia ndio kila kitu!.
P
 
Mwendazake alikuwa anatukosea sana kwa tabia zake, kuna vitu mtu akifanya unaona kabisa ubongo hauko sawasawa. Mungu amurehemu
 
Reactions: SMU
Paschal mayalla si mtu mwa kumwamini kama wengine, ni mtu wa fursa msaka tonge.
 
I
Inabidi kuondoa wasukuma waliovamia serikalini la sivyo mambo hayatakuwa vyema.
 
Shoga kwani nilikuibia bwana!?
Maana una hasiraaaaa...... kunywa maji ulale
Kwani tatizo nini? Mbona mnaonekana hamjaridhika samia kushika nchi? Mlitakaje labda ? Aapishwe majaliwa?
 
sio kwamba ni mawazo yako Bali uko sahihi asilimia zote,Suala ataiachaje ilani aloinadi mwenyewe?.hii misukule ya mbowe acha iendelee kusubiri mkono ondoke kama afanyavyo fisi.
 
mlijaribu kutaka kuifuta legacy ya Magufuli mkavamiwa na dondola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…