hata kama anakupa mahitaji yako yote nyumbani huwezi kumruhusu mumeo aendelee kuchepuka ilhali na wewe unajua fika tena huchukui hatua yeyote,hapo wote mnatenda dambi inabidi umbane ile ni mali yako hwcome uiache ipotee kama humuonei wivu katika hilo basi bila shaka hapo hamna mapenzi au yanaanza kupoungua au mnaishi pamoja ili muwanufaishe watu wa nje tu otherwise umruhusu aoe mke wa pili ujue moja.laiti ingefaa ningekupa like 100 TIMES nami nimeaambia huku kweye blue ndo ukweli wenywe
watakufa waache watoto yatima au apate kovu la uzeeni kisa nini...
sifuatili mtu yoyote as long as ananipa mhitaj yangu
Mkuu huu msimamo wako ningekubaliana nao wakati ule hakuna magonjwa hasa ukimwi to be specific.
Kwa hali ya sasa hivi ukisema humfuatilii as long anakupa mahitaji yako, una hakika gani kuwa huwezi ukaletewa ugonjwa ?!
Cha maana ni kutumia busara wakati wa kufuatilia. La sivyo utaogopa pressure ya kufuatilia uletewe pressure ya ugonjwa!
nakubaliana na wewe katika baadhi ya mambo na mengine napingana na wewe kwanza sikubaliani na wewe kwamba mwanaume hatoshekii na mwanamke mmoja mi naamini kama upendo upo wa kweli na hamna migogoro na kila mtu anaplay part yake basi mwanume unaweza ukatosheka na mke mmoja kuna mbinu nyingi za mwanmke kumfanya mmewe atosheke nae na hata ikitokea mwanaume hajatosheka basi dini ya uislamu inaruhusu mwanaume kuoa wake mpk wanne lakini hata kama sio muisalmu hawezi kuoa mke zaidi ya mmoja hicho sio kigezo cha mume kumvunjia heshima mkewwe yaani unamcheat tena zaidi ya mara moja alafu usione kosa kiasi cah kukmba msahamha na mkeo unampiga mi naamini huyo mwanaume ana matatizo huwezi ukajisahau kiasi hiicho kwa mkeo inabidii umpe heshima yake,huwezi ukampa hawala kipaumbele zaidii.
hata kama anakupa mahitaji yako yote nyumbani huwezi kumruhusu mumeo aendelee kuchepuka ilhali na wewe unajua fika tena huchukui hatua yeyote,hapo wote mnatenda dambi inabidi umbane ile ni mali yako hwcome uiache ipotee kama humuonei wivu katika hilo basi bila shaka hapo hamna mapenzi au yanaanza kupoungua au mnaishi pamoja ili muwanufaishe watu wa nje tu otherwise umruhusu aoe mke wa pili ujue moja.
Kumdhalilisha mkeo ni laana kubwa,hatakama una mambo yako pembeni mheshimu mkeo.Katika maisha ya raha nyumba ndogo zinathaminiwa sana ila siku yamemkuta makubwa na kafulia ndio umuhimu wa mke unapoonekana. Unampiga mkeo wewe najua kwenye hiyo nyumba ndogo mko wangapi mnao mtunza huyo mwanamke? Asubiri siku ya kdhalilika naye haipo mbali.
sasa tabia mtu atabadilisha vipi na wewe humkumbushi umeamua kumsusia eti kwa kuogopa kupigwa ilhali huo ni mume wako??? wewe huwezi kupigana naye na kama unasema anaonyesha tabia za urijali(according to ur defn) basi chuku ahatua nyingine za kumbadilisha tabia yake lakini sio kumzila kama vile umem legalize aendelee kuchepuka either kamshtaki kwa wazazi wake au kwa matu anaemheshimu ili badilike ila kitu cha msingi ni kuhakikisha kwamba kwanza wewe mke unatekeleza majukumu yako ipasavyo,hapo kwenye red sio sanaaa wanawake wengi wanaamua kuwa wapole kwa maana ya ULIJALI wa mwanaume...unafuatilia then unapata kipondo cha mbwa mwizi while mume wako tena wa ndoa,.
tabia za wanume wengi wanapenda michepko bila ya kuwa na sababu maalm
na kusema eti namruhusu NOOO hakuna aayependa kushare utamu wake na mtu mwingne kwa maana uhuni ni TABIA YA MTU...paka unampa nyama ila akiona panya lazma umfukuzie kwa hiyo kama ni mhuni hta umbane vpi lazim ataenda kwa hiyo acheni tabia
KIKUBWA KUBADLI TABIA na KUWA NA HOFU YA MUNGU
mke ana thamani kuliko nyumba ndogo and it always be like that ukiona imekuwa kinyume chake ujue kuna tatizo kwa either kwa upande wa mwanmake(hatekelezi majukumu yake inavyotakiwa) au kuna matatizo upande wa mwaname (kashikiwa akili kiasi hajui umuhimuwa mke wwake mbele ya hawala)
kila kitu kina sababu zake, na pia kama hutaki maumivu usiyatafute kwasababu hata ukiyapata kuyahandle itakuwa taabu. Kwamfano kwanini uamue kumuwekea ulinzi au kumfuatilia mpenzi wako wakati unajua ukijua ukweli mchungu kama huo kuondoka huwezi na kulipiza ni ujinga? Hapo utakuwa unajitafutia maumivu unnecessarily (so if you cannot fight them join them).
Pili mahusiano siyo swala la kugombana bali kuelewana, so kwa mfano unakuta mpenzi wako yuko na mtu mwingine, kumbuka huyu hakuwafumania guest au kuwakuta wanafanya ngono, labda kawakuta bar au anywhere na nafanya assumption kuwa hawakuwa wao tu kulikuwa na watu wengine. So kwanini afike na matusi au ugomvi au kumvaa mtu aliyenaye? Labda wanaongea business, au ni social gathering au wanamaongezi mengine. So jambo la busara ilikuwa ni kuvunja ukimya na siyo kuanzisha zogo (if you nannot convince confuse)
ni hayo tu kwa leo