kila kitu kina sababu zake, na pia kama hutaki maumivu usiyatafute kwasababu hata ukiyapata kuyahandle itakuwa taabu. Kwamfano kwanini uamue kumuwekea ulinzi au kumfuatilia mpenzi wako wakati unajua ukijua ukweli mchungu kama huo kuondoka huwezi na kulipiza ni ujinga? Hapo utakuwa unajitafutia maumivu unnecessarily (so if you cannot fight them join them).
Pili mahusiano siyo swala la kugombana bali kuelewana, so kwa mfano unakuta mpenzi wako yuko na mtu mwingine, kumbuka huyu hakuwafumania guest au kuwakuta wanafanya ngono, labda kawakuta bar au anywhere na nafanya assumption kuwa hawakuwa wao tu kulikuwa na watu wengine. So kwanini afike na matusi au ugomvi au kumvaa mtu aliyenaye? Labda wanaongea business, au ni social gathering au wanamaongezi mengine. So jambo la busara ilikuwa ni kuvunja ukimya na siyo kuanzisha zogo (if you nannot convince confuse)
ni hayo tu kwa leo