uzi wako mref sana mpaka unakera subir wakina shigongo waje wakujbu
1...
Umalaya ni tabia anayoweza kuwa nayo mtu yoyote! ie me and/or ke!
2...
Kimaumbile me hawezi kutosheka na ke m1 labda awe hayuko sawa sawa! Hii ni tofauti na ke! Ke hata awe sawa sawa vipi anaweza kutoshelezwa na me m1 tu aliesawasawa!
Hata madokta wamethibitisha ke anasiku saba tu za kutamani kuliwa ndani ya mzunguko wake wa mwezi!
Hii ni tofauti na me ambaye anatamani siku zote, kwa nguvu ile ile!
Kuna siku niliskia wamama wakijadili "me ni wakorofi na wanapenda sana kungonoka! Mme wangu akiwa nyumbani, nakosa nafasi ya kulala mchana, akiniona tu kitandani anataka ani......! Naamua kupumzika sebuleni kuepusha usumbufu wake!"
3...
Sikubaliani na kejeli alizofanya huyo me dhidi ya mkewe kama ulivyoelezea kwa thired!
4...
Heshima ni muhimu sana ktk ndoa, hauwezi kumkosea mtu alafu ukampa majibu ya kifedhuli!
5...
Kwa kuzingatia maelezo ya nö 2, ke hamtakiwi kuwafatilia sana me wenu!
6...
Me na ke wanautofauti mkubwa wa kimaumbile, uhitaji na kihisia, hivyo basi anayofanya me usiyalinganishe na ya ke huku ukitegemea na me avumie kama ke wanavyovumilia dhidi ya me katika suala zima la usaliti!
...
I hope nimesomeka hapo!
kama nyumba ndogo inanifuatilia atakuwa anataka aone moto wangu wallah nakuambia ntafanya ziro ground kwa gharama yyote lakin sitaenda kichwa kichwa ntajipanga jinsi ya kumfanyizia kwa maana ukitaka kushinda vita ntajipanga
mimi nasemea kwa wale ambao sio rahisi kuonyesha na heshima ndani ya nyumba ipo...
Jerrymsigwa which nature are you speaking of? the nature from God's creation? or the nature from you guys just to justify your polygamists behaviour with clean hands?"By nature all men are polygamists" by unknown
Jerrymsigwa which nature are you speaking of? the nature from God's creation? or the nature from you guys just to justify your polygamists behaviour with clean hands?
Mm nnavyojua handbag lazima ifuate masharti yangu na si vinginevyo. Hakuna kunipigia simu au sms hadi mm nimtafute. Nikiwa na wife urafiki na yeye haupo, hakuna mambo yoyote yatakayomkwaza wife kwa sababu heshima yake inalindwa na contract niliyoweka kwa huyo handbag. Wife kwanza na kipusa baadae. Ndo utaratibu wangu lakini wajameni. Kwa hali hii respect kwa huba wangu itadumu milele.
Dont attack me please; av quoted and not even paraphrased, dont be sceptical n biased. Av not put even an iota to justify your attack, are u perplexed? Thats non of my bzness mate
Mume anauma sana!yalishanikuta lkn kwa kufuma sms tu,ikanifanya mpaka leo nisisahau kidonda hakijapona ingawa mwanaume anajitahid kuonyesha kujutia lakini waapi.NATAMANI SANA NITURN BACK THE HANDS OF TYM...Walioolewa na wazungu huwa wanasema wenzetu weupe hawanaga mpango wa kando.
Mke wa ndoa ana heshima yake ya kipekee ingawa kuna wachache hawatambui heshima tuwapayo na ndio chanzo cha kutoka njia kuu.
Turudi kwenye mada ni kweli kwa asilimia 90 wanaume tunachepuka but huyu bwana alilomfanyie mkewe ni upuuzi na ametudhalilisha wanaume,me sikatai nachepuka sana but sijaruhusu kimada yeyote amdharau ma wife,imekua principle akimdharau kwa namna yoyote napiga chini,huwa nawatahadharisha before kuhusu heshima kwa mke wangu.
Sasa mnaanza kumkosoa Mungu aliyemuumbia mwanaume mwanamke mmoja? Acheni kuhalalisha uhuni kwa kusingizia mwanaume hatosheki.
Hiki alichokifanya huyo jamaa ni unyama na haustahili kuungwa mkono na mtu yoyote.
Kwa hiyo akipeleka dudushele nje na wewe unaipeleka papuchi njeSijaolewa, tatizo ni kwamba habari ni ndefu sana n and huwa nahisi i am not wife material, cwez kuteseka coz of Man.