Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Ni utawala wa ibilisi hao vidume ni vichw box tu.
 
Mm ni ke naamini me hawezi kuwa na mm tu till death cha msingi afanye adabu asinioneshe na dharau sitaki na akitoka na demu mkali zaidi yangu nampa maksi

asante ungekuwa wangu ww mbona ningenenepa.
 
nakukubal sana sibonike.
 
Wanajiendekeza Tu Uchi Uleule Radha Moja Coni Mm Kilichobdilika Nn Nyege Zenu Tu Puuuuh Cwapendi Wanaume

Jinsi ulivyofanya ndiyo sababu ya sisi kuwa na mchepuko make wanawake wengine mna gubu mpaka basi... Utakuwa mmoja wapo.
 
Mmmhh acha tu wanawake waendelee kuwa pasua vichwa, maana kila m'ume naona anaafiki hii mada, ni hatari sana duuh mtu unaweza uctake ndoa kwa mwendo huu, hasa ukisoma comments za jf
 
Yani hata Mimi booboo ziriziki name mwanaume mmoja sijui kwann
 
Soma hii ndoutajua sababu ya wanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja
 

Attachments

  • 1430744961358.jpg
    58.3 KB · Views: 265
nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na hii tabia ya wanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja hivi nini sababu? Au kwanini hamridhiki na mwanamke mmoja? Hili jambo limekithiri kwa sana.

karibuni wakuu tujadiliane

hii thread haijajitosheleza bado haina sifa yakuchangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…