Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Wanawake wanapenda Wanaume wenye wake zao... Hasa mwanaume awe anamjali mke wake...
Mim nikiwa chuo miaka hyo... Nlipata kabinti fulani amaizing... Nikawa nakajali sana.. All the quality time.. Nipo nako.. Nikawa nakapga pamba fresh,full kukashow love.. Every one knows about us..ndo symbol of true love and best couple.. Cha kushangaza videmu vikamiminika vya kutosha mpaka her best friends wakawa wanamzunguka kiana mi Natafuna tu..
Halafu ndo nazidisha mahaba kwa kabibie.. Ndo wanajaa jealous wanataka kuonja vitamu.. Vya wenzao
Ukikuta mme wa mtu anachepka.. Most times huwa wako vizur kwa wenza wao.. Kias kwamba wana attract mafisi kudowea vya watu...
 
Na wewe kwa nini unakubali kuwa mchepuko wakati unatambua kuwa unayemchuna ana mke???! Na wewe ni jipu.
 
na nyie wanawake mmezidi kututega, yawezekana hata wewe ni mchepuko wa mzee mmoja hapa mjini
 
Hilo nasema haiwezekaniiiiiiiiiiiiieeeee umejiuliza kwani lazima mke awe peke yake?mupo wengi na wazuri bhanaa
 
uko sahihi sana!
hata mm aisehh!brazamen chini ya 35,yrs huna nafasi
 
Aliyeanzisha style ya mwanaume mmoja kuwa na mke mmoja alikua ana lengo gani??

Labda tuanzie hapa. Haya mambo ya kuoana ni idea ya mtu mmoja. Ndio maana mm sifikirii kuoa kwa ndoa sijui harusi sijui madudu gani
 
Na wewe kwa nini unakubali kuwa mchepuko wakati unatambua kuwa unayemchuna ana mke???! Na wewe ni jipu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani kuna ubaya...?!

Si mwatutaka wenyewe!!
na nyie wanawake mmezidi kututega, yawezekana hata wewe ni mchepuko wa mzee mmoja hapa mjini
 
Aliyeanzisha style ya mwanaume mmoja kuwa na mke mmoja alikua ana lengo gani??

Labda tuanzie hapa. Haya mambo ya kuoana ni idea ya mtu mmoja. Ndio maana mm sifikirii kuoa kwa ndoa sijui harusi sijui madudu gani
utaoaje wewe sasa...!kama masaburi wake watano[emoji3]
 
Ukiona hivyo hujue hawapewi vizuri!!ndio maana wanaenda chombeza nje..
 
Ndoa, upendo na mapenzi ni vitu 3 tofauti visivyoingiliana. Unaweza ukampenda mkeo lakini hawezi kukupa penzi unalotaka, na bahati mbaya wanawake huwa wanadhan akishaolewa tu sasa kazi imeisha anahisi km kafika mbinguni. Kwa wanaume penzi tamu kuliko zote ni la mwanamke mpya asiekukera
 
Kihalisia I.e kimaumbile mwanaume halidhiki kwa mwanamke mmoja,ndio maana ukisoma historia utaambiwa babu yako mzaa babuyako alikuwa na wake sita ,kwa kuwa sikuhizi watu waume uanakatishwa taa kutoa wake wengi mmbadala ni kuchepuka tu,
 
Mungu atupe bonas ya msamaha wa dhambi kwenye hayo mambo ya uchepukaji lo!.
 
[emoji23] [emoji23] wanawake wengi sio wa kuchepukachepuka...

nyie ndo mwapendaaa mambo hayo lazima shida iwepo!!
Hiyo ya 'wanawake wengi' siku hizi napata ukakasi sana kulitumia, inabidi tubadilishe iwe tu 'wanawake wachache'.
 
shida ni huyo mwanamke anaekubali kuwa hawara
Ila mwanaume hana shida?
Kati ya huyo hawara na huyo mwanaume nani ana commitment na mwenzie!! Ni nani aliapa till death do us apart,na kutokusaliti?
Usiwatetee, maana hapo wote wana makosa ila huyo alieacha ndoa kwenda kusaliti ni bomu.

Kumbuka kuna wengine huficha kabisa kama wameoa/kuolewa, unakuja gundua too late.
 
Haha ha ha haaa,..... umenifurahishaaaa,...umemaliza vizuri kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…