Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

word mkuu uchafu nao huchanguia hujipigi sopusopu[emoji28][emoji28]
1. Kuna baadhi ya wanawake wanatumia tendo la ndoa kama adhabu ya kuwarekebisha waume zao hili ni kosa kubwa sana, linaweza likawa linachochea zaidi.

2. Wanaume wengi hawapendi makelele ndani ya nyumba. Wanawake ambao hawawapatii waume zao good and peace home, inaweza kusababisha mume kuishi mazingira hatarishi zaidi

3. Wengine wataongezea!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji122]mi nilijua mlango wa uwani huwezi muomba wife(joke)ila mike mkuu mbona poa hata kwa wife mi sioni dhambi hii reason yako nehi nehi nehi[emoji2088][emoji2088]
Ni kweli, mfano mimi siwezi kumpa wife ambae nimezaa nae mic aimbe ila mchepuko utashika mic na kuimba kila tukikutana.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji122]mi nilijua mlango wa uwani huwezi muomba wife(joke)ila mike mkuu mbona poa hata kwa wife mi sioni dhambi hii reason yako nehi nehi nehi[emoji2088][emoji2088]
Mlango wa uwani hapana kwakweli.....hii dhambi siitaki kabisa 😄😄😄
 
Kikichuja kilichopendwa awali unaanza kukitafta kwa mwingine; Ref:RC kilimanjaro
 
Ukiona Bwana anachepuka, jiulize umekosea wapi? Ukibweteka, lazima utasaidiwa na wengine huko nje hakuna namna
Acha uongo bwana.... Mimi binafsi nachepuka na nimeoa na wife hakuna anacho nikosea.... Hadi Kuna Muda najilaumu kwa nn nafanya hivo ila Muda ukipita tamaa tena zinakuja sijui hata ni kwa nini ipo hivo
 
Wewe na yule mwarabu supermarket mmefikia wapi na unakosa nini kwa mmeo tuanzie mjadara hapo
Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
 
Acha uongo bwana.... Mimi binafsi nachepuka na nimeoa na wife hakuna anacho nikosea.... Hadi Kuna Muda najilaumu kwa nn nafanya hivo ila Muda ukipita tamaa tena zinakuja sijui hata ni kwa nini ipo hivo
Swala siyo kitu anachokukosea (rejea hoja ya mtoa hoja) swala ni kitu gani unakikosa (what is missing in her) kwa mkeo mpaka uchepuke? Kwako nadhani huyo mama alichokikosa ni skills za kukudhibiti usichepuke.
 
Unakuta wife ni kisu ila wewe kutwa kulana na wadada nje. Unakuta mke anakuhudumia ila kutwa kwa wengine.

Mpewe nini nyie mridhike kuwa mpo kwenye ndoa takatifu? Kwanini mnakwaza wake zenu wanaobeba mimba miezi 9 wanawazalia watoto kwa uchungu? Nini shida?

Semeni, hili ni jukwaa huru.
Huu ni mtego hapa.
 
Ndo hapo wanapokwama
Wana tunyanyasa sana hawa wanawake wazuri tulio oa mpaka tunajuta tendo unapewa mara moja kwa mwezi halafu unalindwa kama mtoto mdogo usitoke nje yaan dah bola nisnge oa tu kwanza mpaka nfke miaka 30
 
Back
Top Bottom