Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Hivi unafikiri tabia ya mtu inabadilishwa kwa kuingia kwenye ndoa? Kama mtu ameshindwa kuwa mstaarabu kabla ya ndoa unafikiri kitu gani kitamfanya aiache tabia yake anapooa au kuolewa?
 
kiukweli yaan mtusamehe hebu tuchukulien kuwa huo ndio ulemavu wetu lakin mwanaume kubaki njia kuu hyo ngumu mchepuko haukwepeki ila semen tupunguze

Uko mwanaume lijali awe na mchepuko ila nijali Mimi wa ndani pia niheshimu nipe mahitaji Yang yooote kama mkeo
Chepuko lako iwe siri yako na umwambie una mke komando kama umaga or ray sterio. heshima ichukue mkondo wake..au vip wangu
 
Sasa Kwani Shikamoo c yamanisha mie mkubwa au?

Shikamoo inatumika kama ishara ya kuonesha heshima.

Mimi nimeitumia kwako kama kukupa heshima sijakupa kama salaam..

Kivyovyote vile hauwezi kuwa unanizidi kiumri haijalishi nakujua au sikujui!
 
Shikamoo inatumika kama ishara ya kuonesha heshima.

Mimi nimeitumia kwako kama kukupa heshima sijakupa kama salaam..

Kivyovyote vile hauwezi kuwa unanizidi kiumri haijalishi nakujua au sikujui!

Haya nimekuelewa
 
Mwanaume wa hivyo ni kitombisti tu

Aoe asioe yeye michepuko ndo hulka yake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uko mwanaume lijali awe na mchepuko ila nijali Mimi wa ndani pia niheshimu nipe mahitaji Yang yooote kama mkeo
Chepuko lako iwe siri yako na umwambie una mke komando kama umaga or ray sterio. heshima ichukue mkondo wake..au vip wangu

nmekupenda buree! Nataman hta ungekuwa mke wangu najua kwa moyo wako huo tungeishi raha mstarehe....... Mbona mashart madogo sana hayo!
 
Wadada ndo kuzidi manake hata wakiwa kwenye ndoa wanasema wako single. Na ukiwatongoza hawakatai.

Wala sio kushindanisha baina ya wadada na wakaka hapana
Mie nimeshangazwa na mtu ambaye ndoa yake bado changa anaendekeza michepuko,
 
wengi wa wanaochepuka huwa wana dushelele kuanzia nchi 6.5 na kuendelea

fuatilia hii case study utaniambia kuwa ni kweli.

yani ukishasifiwa tu na Munkari, basi utataka ichana, sweetlicious, preta, karucee, na king'asti wajue!

lazima uchepuke tu kutangaza ubingwa..

Mmmhh....Sina hakika na hiyo case study yako
 
Ha ha ha come on...nani kakudanga ukicheza mechi za mchangan itakusidia kuwa champion kweny league kuu...

Kuwa mzooefu kwenye uwanja wako wa home like messi no matter uwe mbali kiaje or kona ipi lazima utikise nyavu...
Fanyia mazoezi kiwanja cha home bhana kitakusaidia kujua korongo na kona ipi ya kufungia

Ichana nimekupenda buree
 
yeeeees! Guuuuuuuuuuud! Et kila siku wali nyama. Ipo sku utashindwa kumeza utatapika..... Hvyo lazma ukatafute apetite nje kwa kula hata kitimoto

Daah!!Ama kweli Wanawake tutalia sana na michepuko ya waume zetu
 
Daah!!Ama kweli Wanawake tutalia sana na michepuko ya waume zetu

tian dunia imebadilika hata cye wanawake tunachepuka sana tu na nina mifano mingi tu in my family, cha msingi ni kuomba yasikukute,kusalitiwa kunaumiza
 
hapo hakuna mwenye uvumilivu labda usijue kuwa unat..o mb e wa. Lakin sisi tunawaonea huruma nyinyi wenyew utakuta mdada wa watu yupo idle hana aman wakat huo mm mwenyew nahtaji frend match kujifua dhid ya ligi kuu naamua kumpa kampan na kumuondolea upweke. Sasa kosa letu ni lip

Ulimbukeni tuu unakusumbua
 
Back
Top Bottom