Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Tafuteni smart women wenye maono, shida huwa mnatafta sijui Kwa vigezo gani nyie
Vigezo muhimu, akili atatumia za kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuteni smart women wenye maono, shida huwa mnatafta sijui Kwa vigezo gani nyie
Wanawake wengine inabidi usiwashirikishe ili kuleta amani ndani ya nyumba. Wake wengine wako wires to spending na wakikna pesa ipo usumbufu unaongezeka wakati mwingine kwa expenditures siziko za msingi. Kwa mwanamke kama huyu inabidi kumficja chanzo ili uweze kutekeleza majukumu ya msingi ya familia..Maana ukimruhusu mtumie anavyotaka bado zikiisha itakuwa karaha nyumbani pia. Sio kila wanaoficha wana nia mbaya ila ni kwa ajili ya control.Habari Wana jamvi,
Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?
Ladies take note
Hapo kwelii aiseeeMwanamke lazma ukae nae kabla hujamuoa na wala asijue intentions zako kama ni kumuoa! Tafteni wanawake sio wasichana...Hii namaanisha wanawake ambao wako aged >=25!
This helps alot kukabiliana na vizazi vya kileo ambavyo malezi sio ya maadili yani! Mnaokotana na kupelekana lunch na dinner siku mbili 3 kisha mnatafunana na mnapanga mipango ya ndoa! Lazma mwanamke akuigizie tu[emoji28]
Wanaume wengi sikuhizi tia maji tia maji Hadi mke analipia mahari yakeSio supportive kivipi? Yani mwanaume ambaye umekuwa nae mpaka mkaoana anakuwaje sio supportive au unakuwa hujui kuwa sio supportive?
[emoji23][emoji23]mkeo ni furushi la misumari Yani Hali yenu ngumu badala mpange budget yeye anawaza tv na vikatuni vya watoto tu hafikirii mbele ni hatari, usichoke kumfundisha vipaumbele vya maisha hata siku vikitokea vya kutokea aweze kusimama na familia kimalezi[emoji1][emoji1] Kuna wakati wanaume tusisubiri Hadi Mambo yatuharibikie kabisa ndio tuanze kulia Lia ....kuwa na mwanamke sio lazima , ukisha jiona kiuchumi Kuna Mambo yanatakiwa yapunguzwe ili uweze kuwa stable Basi inatakiwa ufanye hivyo.
Ooh kumbe Sasa hatushirikishani na Mimi nafanya maendeleo yangu binafsi as long as Niko mzima wa afya sishindwi kujifanyia yanguWewe umeshirikisha Nini na ukifa utawaachia Nini watoto na baba yao......?
Mkishajua mali ipo hamchelewi kuleta migogoro ili mgawane 50/50 (Wachaga)Habari Wana jamvi,
Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?
Ladies take note
Sasa wewe wakati wa uhai umefanya mambo kisiri haupo ghafla vitu vinapotea mke anaanza kuteseka, au wahuni au ndugu uliowaamini wanavidhulumu hivo vitu watoto wanakuwa chokoraa na wengi hamfundishi wanawake zenu kusimama nyie mnafanya vyote hivo wenyeweKwanini familia iteseke nikiondoka? Si mama amebaki, aendeleze familia…. au sio jukumu lake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vigezo muhimu, akili atatumia za kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana ni hatari kuwa na mwanamke/ mwanaume broke maana hana upendo ila anaamgalia masilahi akiyapata anakula corner yake unaumizwa, watu maskini hawaaminiki kabisa Bora hata wale wataftaji unajua siku moja utatoboa tuNobody fakes life kama a broke woman [emoji28] huyo hata awe eneo gani lazma atataka ajitutumue aonekane anazo! Sijui hii ni kwa faida ya nani[emoji28]
Always kunakuwa na sababu,mara nyingi mnapoanza mahusiano mapenzi huwa yanakuwa hot sana,ila baadaye kunaingia mizozo na kuhitilafiana,mapenzi hupungua na mwishowe mnaanza kuishi kama maadui,muhimu kuliko yote ni kuwa na utii wa hali ya juu kwa Mungu,kinyume cha hapo hakuna muujiza...Habari Wana jamvi,
Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?
Ladies take note
Matumizi yenu nyie viumbe hayanaga mipaka. Ndo maana lazima tuwaficheHabari Wana jamvi,
Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?
Ladies take note
Ha haaa kanuni imekaa vizuri kuna saa hata account in 20m + halafu unamkaushia unamuambia sina hata mia mbovu.........Hamchelewi kudai 50/50.
Wakati nipo dukani Kuna mzee alikuja na mkewe kununua vitu.
Yule mzee aliingia dukani akamuacha mkewe nje.
Akaanza kutoa hela kwenye bukta yake ya ndani.akaniambia.
"Mwanamke usimuoneshe hela"
hii kanuni naitumia mpaka leo.
Unazungumza hivi ulishawahi kuweka wazo la kipi kifanyike namkeo nayeye alilichuliaje na matokeo ya wazo yalikuwaje? Kama hukuwahi kumshirikisha kwa jambo lolote hata tu kumuomba ushaur bac usimuone hafai wew bado nikichwa cha familia unapaswa uzungumze nae na mjadili namna yakupata vitu kwa manufaa ya familiaWanawake wengine inabidi usiwashirikishe ili kuleta amani ndani ya nyumba. Wake wengine wako wires to spending na wakikna pesa ipo usumbufu unaongezeka wakati mwingine kwa expenditures siziko za msingi. Kwa mwanamke kama huyu inabidi kumficja chanzo ili uweze kutekeleza majukumu ya msingi ya familia..Maana ukimruhusu mtumie anavyotaka bado zikiisha itakuwa karaha nyumbani pia. Sio kila wanaoficha wana nia mbaya ila ni kwa ajili ya control.
Sio wote ndugu huenda uliyempata hawezi kujua maisha yapoje na yeye anatak nn kweny maisha yakeWacha vipotee tu si ni jasho lake[emoji28]
Mwanamke wa kibongo ukimpa record ya unachoingiza lazma ahakikishe anajua kila senti ilivyotumika hata ukisaidia ndugu yaweza kuwa lawama
Usipo muamini mkeo unatak umuamini nani sasa kuna haja gani yakuoa sibora uendlee kununua Malaya wakufurahishe kimwili ukitaka watoto zaa na wanawake wengine ulee mwenyewWanawake sio wa kuaminiwa,..umesahau samson na delila?
Hahahahaaa wapare hataree endlea kutafuta utampata anaemilik bankHuo upuuzi wa sheria ya ndoa mtadili nao nyie! Chakula nitanunua ila mke lazma achangie kwenye kuijenga familia ili awe na uchungu na familia! Mwanamke pekee anaweza kufanya haya ni anayekupenda kwa dhati sio wale ambao wananufaika na huduma hizo!