Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Habari Wana jamvi,

Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?

Ladies take note
Wanawake wengine inabidi usiwashirikishe ili kuleta amani ndani ya nyumba. Wake wengine wako wires to spending na wakikna pesa ipo usumbufu unaongezeka wakati mwingine kwa expenditures siziko za msingi. Kwa mwanamke kama huyu inabidi kumficja chanzo ili uweze kutekeleza majukumu ya msingi ya familia..Maana ukimruhusu mtumie anavyotaka bado zikiisha itakuwa karaha nyumbani pia. Sio kila wanaoficha wana nia mbaya ila ni kwa ajili ya control.
 
Mwanamke lazma ukae nae kabla hujamuoa na wala asijue intentions zako kama ni kumuoa! Tafteni wanawake sio wasichana...Hii namaanisha wanawake ambao wako aged >=25!

This helps alot kukabiliana na vizazi vya kileo ambavyo malezi sio ya maadili yani! Mnaokotana na kupelekana lunch na dinner siku mbili 3 kisha mnatafunana na mnapanga mipango ya ndoa! Lazma mwanamke akuigizie tu[emoji28]
Hapo kwelii aiseee
 
[emoji1][emoji1] Kuna wakati wanaume tusisubiri Hadi Mambo yatuharibikie kabisa ndio tuanze kulia Lia ....kuwa na mwanamke sio lazima , ukisha jiona kiuchumi Kuna Mambo yanatakiwa yapunguzwe ili uweze kuwa stable Basi inatakiwa ufanye hivyo.
[emoji23][emoji23]mkeo ni furushi la misumari Yani Hali yenu ngumu badala mpange budget yeye anawaza tv na vikatuni vya watoto tu hafikirii mbele ni hatari, usichoke kumfundisha vipaumbele vya maisha hata siku vikitokea vya kutokea aweze kusimama na familia kimalezi
 
Wewe umeshirikisha Nini na ukifa utawaachia Nini watoto na baba yao......?
Ooh kumbe Sasa hatushirikishani na Mimi nafanya maendeleo yangu binafsi as long as Niko mzima wa afya sishindwi kujifanyia yangu
 
Kwanini familia iteseke nikiondoka? Si mama amebaki, aendeleze familia…. au sio jukumu lake!
Sasa wewe wakati wa uhai umefanya mambo kisiri haupo ghafla vitu vinapotea mke anaanza kuteseka, au wahuni au ndugu uliowaamini wanavidhulumu hivo vitu watoto wanakuwa chokoraa na wengi hamfundishi wanawake zenu kusimama nyie mnafanya vyote hivo wenyewe
 
Nobody fakes life kama a broke woman [emoji28] huyo hata awe eneo gani lazma atataka ajitutumue aonekane anazo! Sijui hii ni kwa faida ya nani[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana ni hatari kuwa na mwanamke/ mwanaume broke maana hana upendo ila anaamgalia masilahi akiyapata anakula corner yake unaumizwa, watu maskini hawaaminiki kabisa Bora hata wale wataftaji unajua siku moja utatoboa tu
 
Habari Wana jamvi,

Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?

Ladies take note
Always kunakuwa na sababu,mara nyingi mnapoanza mahusiano mapenzi huwa yanakuwa hot sana,ila baadaye kunaingia mizozo na kuhitilafiana,mapenzi hupungua na mwishowe mnaanza kuishi kama maadui,muhimu kuliko yote ni kuwa na utii wa hali ya juu kwa Mungu,kinyume cha hapo hakuna muujiza...
 
Baadhi ya wanaume tayar wanakuwa na fikra ya kuwa mwanamke sio mtu wakumuamni halafu wanasahau wao ndio wenye kuwaletea heshima ndani ya familia kuitwa baba nakuwa na Uhuru wakutambulika kokote. Sasa niajabu mwanaume huyu anaacha kumuamin mkewe ila anaenda kushirikiana na mchepuko nahawaz watoto wanaishije na mkew anapat wapi pesa ya kuwahudumia wanae
 
Mimi nakumbuka kipindi naanza ajira matumizi binafsi ndani kwa mwezi laki 6 inaisha na hapo tunaishi mbali yeye town mimi bush kwenda mjini mara moja moja, nikajitoa kumfungulia biashara ya kama Milioni 6 hivi duka la nguo akaanza kunambia rafiki zake wanamshangaa kasoma ila anauza duka la nguo miezi 6 baadae biashara ikafa hakuna pesa wala nguo zilizopo kumuuliza eti kakopesha aliowakopa wamekimbia.
 
Hamchelewi kudai 50/50.
Wakati nipo dukani Kuna mzee alikuja na mkewe kununua vitu.
Yule mzee aliingia dukani akamuacha mkewe nje.
Akaanza kutoa hela kwenye bukta yake ya ndani.akaniambia.
"Mwanamke usimuoneshe hela"
hii kanuni naitumia mpaka leo.
Ha haaa kanuni imekaa vizuri kuna saa hata account in 20m + halafu unamkaushia unamuambia sina hata mia mbovu.........
 
Wanawake wengine inabidi usiwashirikishe ili kuleta amani ndani ya nyumba. Wake wengine wako wires to spending na wakikna pesa ipo usumbufu unaongezeka wakati mwingine kwa expenditures siziko za msingi. Kwa mwanamke kama huyu inabidi kumficja chanzo ili uweze kutekeleza majukumu ya msingi ya familia..Maana ukimruhusu mtumie anavyotaka bado zikiisha itakuwa karaha nyumbani pia. Sio kila wanaoficha wana nia mbaya ila ni kwa ajili ya control.
Unazungumza hivi ulishawahi kuweka wazo la kipi kifanyike namkeo nayeye alilichuliaje na matokeo ya wazo yalikuwaje? Kama hukuwahi kumshirikisha kwa jambo lolote hata tu kumuomba ushaur bac usimuone hafai wew bado nikichwa cha familia unapaswa uzungumze nae na mjadili namna yakupata vitu kwa manufaa ya familia
 
Wacha vipotee tu si ni jasho lake[emoji28]
Mwanamke wa kibongo ukimpa record ya unachoingiza lazma ahakikishe anajua kila senti ilivyotumika hata ukisaidia ndugu yaweza kuwa lawama
Sio wote ndugu huenda uliyempata hawezi kujua maisha yapoje na yeye anatak nn kweny maisha yake
 
Huo upuuzi wa sheria ya ndoa mtadili nao nyie! Chakula nitanunua ila mke lazma achangie kwenye kuijenga familia ili awe na uchungu na familia! Mwanamke pekee anaweza kufanya haya ni anayekupenda kwa dhati sio wale ambao wananufaika na huduma hizo!
Hahahahaaa wapare hataree endlea kutafuta utampata anaemilik bank
 
Back
Top Bottom