Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Dada: money penny nisaidie
Money penny: ndio boss
Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa
Money penny: ndio boss
Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15,
Kesho yake tukaanza kupigiana simu kwa whatsapp, nikamwona sura yake, anapoishi, yeye alishaachana na mkewake kwa talaka
Ila leo siku ya 3 akawa ananipigia video yuko kifua wazi, mara kwenye mashuka, mara namimi nivue nguo nikamkatalia, nikamwambia mpaka anioe ndio nampa utamu, naona amepunguza simu hapigi tena
Sasa sijaelewa huyu mwanaume alinipenda kweli, alitaka kunioa au ni tapeli?
kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya?!
Haya wenye experience ya kutongozwa na ma dirvocee mje mumsaidie dada wa watu. Afanyaje?