Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

Jibu ni rahisi sana. Akitumia mtoto wake, wewe dada utadhani huyu mtu yuko serious kabisa kunioa ndiyo maana anaanza hata kuwashirikisha watoto wake. Ni kama tapeli anavyokuonyesha simu ya kweli halafu ukiipenda anakubadilishia. Sasa mimi nina swali kwako.
Kwa mara ya kwanza mwanaume amejibu swali, sio Manyanza Na ScaniaR wanambwela mbwela tu hapa
 
Jibu ni rahisi sana. Akitumia mtoto wake, wewe dada utadhani huyu mtu yuko serious kabisa kunioa ndiyo maana anaanza hata kuwashirikisha watoto wake. Ni kama tapeli anavyokuonyesha simu ya kweli halafu ukiipenda anakubadilishia. Sasa mimi nina swali kwako.
Nimemjibu kama alivyojibu huyu kaka
Manyanza
 
🤣🤣🤣
Acha basi kuwa na hisia negative kuwaelekea Wanaume sasa ukiwa kama mtoa ushauri inatakiwa uwe unasikiliza zaidi na kuwa na tafakuli ya mambo.
Sinaga kabisa
Usiniwekee maneno mdomoni kwa ukweli ulioandikwa kwa uzi
Au unalalamika tumeshajua mbinu zenu ziko hewani
 
Jifunze namna bora ya uandishi.
Usitumie general term kutoka kwenye sample ambayo huenda hata hawafiki watu watano out othe Male population world wide ambayo inaweza kuwa na watu karibu 3+/4bilion

Tumia neno Baadhi
 
Jibu ni rahisi sana. Akitumia mtoto wake, wewe dada utadhani huyu mtu yuko serious kabisa kunioa ndiyo maana anaanza hata kuwashirikisha watoto wake. Ni kama tapeli anavyokuonyesha simu ya kweli halafu ukiipenda anakubadilishia. Sasa mimi nina swali kwako.
 
Dada: money penny nisaidie

Money penny: ndio boss

Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa

Money penny: ndio boss

Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15,

Kesho yake tukaanza kupigiana simu kwa whatsapp, nikamwona sura yake, anapoishi, yeye alishaachana na mkewake kwa talaka

Ila leo siku ya 3 akawa ananipigia video yuko kifua wazi, mara kwenye mashuka, mara namimi nivue nguo nikamkatalia, nikamwambia mpaka anioe ndio nampa utamu, naona amepunguza simu hapigi tena

Sasa sijaelewa huyu mwanaume alinipenda kweli, alitaka kunioa au ni tapeli?

kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya?!

Haya wenye experience ya kutongozwa na ma dirvocee mje mumsaidie dada wa watu. Afanyaje?
Tapeli tu huyo. Ila nayeye amezidi mapema hivi anakutambulisha mwanae🚩 🚩

'ke tunahusisha wababa wanaokuwa karibu na watoto wao na tabia ya ku-care. Na kuna ambao ukiwa nao ndio ticket ya kukimbia, hawataki kudeal na baby mama
 
Yani wewe umeongea point kabisa
Sio kichwa maji Manyanza
 
Tapeli tu huyo. Ila nayeye amezidi mapema hivi anakutambulisha mwanae🚩 🚩

'ke tunahusisha wababa wanaokuwa karibu na watoto wao na tabia ya ku-care. Na kuna ambao ukiwa nao ndio ticket ya kukimbia, hawataki kudeal na baby mama
 
😏😏😏
Kichwa maji how ???
Unataka mtu atoe maoni ambayo unayataka mwenyewe ??? So there was no need to mention me on your thread
 
Tapeli tu huyo. Ila nayeye amezidi mapema hivi anakutambulisha mwanae🚩 🚩

'ke tunahusisha wababa wanaokuwa karibu na watoto wao na tabia ya ku-care. Na kuna ambao ukiwa nao ndio ticket ya kukimbia, hawataki kudeal na baby mama
 
Aiseeeh! Unblock namba yangu nikutwangie video kwanza,vibaya hivyo.
 
Back
Top Bottom