Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
Kwa mara ya kwanza mwanaume amejibu swali, sio Manyanza Na ScaniaR wanambwela mbwela tu hapaJibu ni rahisi sana. Akitumia mtoto wake, wewe dada utadhani huyu mtu yuko serious kabisa kunioa ndiyo maana anaanza hata kuwashirikisha watoto wake. Ni kama tapeli anavyokuonyesha simu ya kweli halafu ukiipenda anakubadilishia. Sasa mimi nina swali kwako.
Nimemjibu kama alivyojibu huyu kakaJibu ni rahisi sana. Akitumia mtoto wake, wewe dada utadhani huyu mtu yuko serious kabisa kunioa ndiyo maana anaanza hata kuwashirikisha watoto wake. Ni kama tapeli anavyokuonyesha simu ya kweli halafu ukiipenda anakubadilishia. Sasa mimi nina swali kwako.
🤣🤣🤣Bado hujamsaidia mwenye shida yake
Acha mbwembwe
Sijisikii kuandika sana maana naanza kupata ufikirisho sana kuelekea hii mada.
Sijisikii kuandika sana maana naanza kupata ufikirisho sana kuelekea hii mada.
Sinaga kabisa🤣🤣🤣
Acha basi kuwa na hisia negative kuwaelekea Wanaume sasa ukiwa kama mtoa ushauri inatakiwa uwe unasikiliza zaidi na kuwa na tafakuli ya mambo.
Jifunze namna bora ya uandishi.
Usitumie general term kutoka kwenye sample ambayo huenda hata hawafiki watu watano out othe Male population world wide ambayo inaweza kuwa na watu karibu 3+/4bilion
Tumia neno Baadhi
Jibu ni rahisi sana. Akitumia mtoto wake, wewe dada utadhani huyu mtu yuko serious kabisa kunioa ndiyo maana anaanza hata kuwashirikisha watoto wake. Ni kama tapeli anavyokuonyesha simu ya kweli halafu ukiipenda anakubadilishia. Sasa mimi nina swali kwako.
Tapeli tu huyo. Ila nayeye amezidi mapema hivi anakutambulisha mwanae🚩 🚩Dada: money penny nisaidie
Money penny: ndio boss
Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa
Money penny: ndio boss
Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15,
Kesho yake tukaanza kupigiana simu kwa whatsapp, nikamwona sura yake, anapoishi, yeye alishaachana na mkewake kwa talaka
Ila leo siku ya 3 akawa ananipigia video yuko kifua wazi, mara kwenye mashuka, mara namimi nivue nguo nikamkatalia, nikamwambia mpaka anioe ndio nampa utamu, naona amepunguza simu hapigi tena
Sasa sijaelewa huyu mwanaume alinipenda kweli, alitaka kunioa au ni tapeli?
kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya?!
Haya wenye experience ya kutongozwa na ma dirvocee mje mumsaidie dada wa watu. Afanyaje?
Yani wewe umeongea point kabisaTapeli tu huyo. Ila nayeye amezidi mapema hivi anakutambulisha mwanae🚩 🚩
'ke tunahusisha wababa wanaokuwa karibu na watoto wao na tabia ya ku-care. Na kuna ambao ukiwa nao ndio ticket ya kukimbia, hawataki kudeal na baby mama
Tapeli tu huyo. Ila nayeye amezidi mapema hivi anakutambulisha mwanae🚩 🚩
'ke tunahusisha wababa wanaokuwa karibu na watoto wao na tabia ya ku-care. Na kuna ambao ukiwa nao ndio ticket ya kukimbia, hawataki kudeal na baby mama
😏😏😏
Kichwa maji how ???
Unataka mtu atoe maoni ambayo unayataka mwenyewe ??? So there was no need to mention me on your thread
Tapeli tu huyo. Ila nayeye amezidi mapema hivi anakutambulisha mwanae🚩 🚩
'ke tunahusisha wababa wanaokuwa karibu na watoto wao na tabia ya ku-care. Na kuna ambao ukiwa nao ndio ticket ya kukimbia, hawataki kudeal na baby mama
Sina sjmu nimeibiwaAiseeeh! Unblock namba yangu nikutwangie video kwanza,vibaya hivyo.
Aiseeeh! Unblock namba yangu nikutwangie video kwanza,vibaya hivyo.
Hahaha! Unanisema ?Sina sjmu nimeibiwa
Hukunipa hii connection mwanangu ikoje ???Hahaha! Unanisema ?
Simu iliibiwa na bongo ladies na hata nikikutumia jumbe za mabusu kwa namba yako hazifiki na ukimya wangu ukaona uni block eeh??
SawaHahaha! Unanisema ?
Simu iliibiwa na bongo ladies na hata nikikutumia jumbe za mabusu kwa namba yako hazifiki na ukimya wangu ukaona uni block eeh??