Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Kiufupi dada poa ni mfumo wa plug and play.

Hawana after purchase maintanance costs.
 
Kila mtu apambane na hali yake, watao enjoy madada poa waendelee kukodisha. Wale ambao wanapenda mahaba waendelee kuhudumia mademu zao kwa kila kitu wakitoswa watiane visu vya shingo 😁😁😁
🤣So kila mtu ashinde mechi zake.. Aya lakini I believe tunaweza tengeneza mahusiano mazuri Katika jamii zetu na umalaya ukaisha ila tamaa, uvivu na ego ndo inatuua
 
Simply hawataki mahusiano.
 
Huhitaji maneno mengi unamwambia nataka dudu atakwambia kiasi ukiwa nacho unapewa no other stories hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…