Kwanini wanaume wananunua dada poa?

So issue nzima ni wadada ni expensive na wana drama?
Hapana Gharama sio issue, issue ni pale unapotaka kuleta gharama kwa sababu ambazo hazina mashiko, hilo kwangu huwa nalichukulia ni kama unadharau utashi wangu (insulting my intelligence) so ni vyema niende kwa anayekuja na gharama zake mezani tu bargain tufunge biashara katika hali ya win-win situation.

Kuliko nipoteze muda kukutongoza alafu nikiomba game uanze kuja na story za luku imekata, mara hauna gesi etc. Naweza kugharamia vyote hivyo but not at the expense of 'Insulting my intelligence', ni bora niende kwenye huduma za kulipia moja kwa moja
 
Huo ndio uhalisia wa "missing gap" na kwa kifupi kabisa naweza kusema hivyo.
 
Tutake radhi wanunuzi wa dada poa na pia tutake radhi wapiga nyeto..

Hivyo vitu viwili vina utofauti, kwanini useme ni sawa??

Kuna shida gani mtu akinunua dadapoa? Mnasaidiwa afu bado mnakuja kuwananga mitandaoni, serikali yako tu inaona umuhimu wa hawa watu ndio maana imewaacja mpaka kesho.
 
Usiwe na hasira nimeuliza nipate majibu
 
Okay nimeelewa asa mademu nao wakiamua kuwa direct yaani unalipa unapewa Kuna tofauti Gani na hao malaya
 
Kila mwanamke ni dada poa, isipokua tu yule anayeingia kwenye mahusiano asitake hela ya mwanaume, ila kama wewe ukiingia kwa mwanaume siku unaenda kwake yeye ndo akusafirishe, akuvishe, akulishe hauna tofauti na dada poa.
Okay ila umeelewa nachomaanisha na tofauti unaijua...so plz answer accordingly
 
So unataka mademu wawe kama Malaya
Demu aliyepoteza bikra yake kwa kupenda kwake anatofauti gani na malaya?. BTW Wacha niingie viwanjani, vyombo vikikolea naweza kuja kuendelea kubishana.

Kwa muda huu unaweza endelea kuchakata maoni ya mdau hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…