Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

Kasema eti yy ndo mentor wako na kapania akufundishe mpk umchukue tayana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila kashindwa battle hana hamu, bora muende kwenye siasa tyuuu!!
Nimeona comment yako unavyofagilia kukupa disha juu ya kilele. Namsubiri aje aanze kusema mambo ya mshindo sijui umafika mara 10. 😁🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wanajua tena sana. Sema tu hawataki. Ungeuliza kwa nini wanaumiza wanawake. Bei iwe juu, biya wamekunywa, msosi wamefakamia,gharama kama za TRA,af tena na burudani. Hapana. Nakataa.

Kwanza mkiona wote ni hivyo,jitafakalini🤣🤣🤣🤣
 
Bora lawama kuliko kunyonya Papa manake kwa kuvutana tu huwezi ikomoa Manati.
 
Huwezi kufika kileleni km akili na mwili wako havijapanga kufika kileleni, vitu vingine wanawake na sie tunajiendekeza.
Inatakiwa umpe ushirikiano wa kutosha huyo anayekufikisha kileleni sio umebweteka.
Gogo linataka lipandishwe mlimani mpaka kileleni, litaishia kulalia udongo na kuliwa na mchwa tu.
 
Baada ya kugundua kuwa mwanamke kufika kileleni sio jukumu langu, bali ni lake...niliacha kuwaza huo ujinga kabisa,...hutaki kufika kileleni hiyo mi hainihusu,utakapohitaji kufika utaenda mwenyewe....
 
Tugawane majukumu mkitaka sex nzuri punguzen kuomba pesa nasi tutawapa sex nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…