Kwanini wanaume wengi wa Afrika/blacks wanavutiwa zaidi na wanawake wenye makalio makubwa sana?

Mwanaume wangu anapenda nyama mpk huwa tukiwa kwenye foleni namuonesha barabarani!
Popote alipo/nilipo likipita zigo ah lazima tupeane habari
Siku nyingine namtumia na picha kabisa za kimgongo mgongo(siku nishikwe sijui ntasemaje,mxxxxiie)

We bana curvy ladies are blessed nyie!
 
Hata mke wangu ni hivyo hivyo. Haiwezi kupita siku hajanitumia picha ya mizigo anayokutananayo huko kitaa. Halafu akija jioni tunalinganisha na la kwake. Mama E yaani dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…