snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Yani raha ile kabisa yani.Hata mke wangu ni hivyo hivyo. Haiwezi kupita siku hajanitumia picha ya zigo. Halafu akija jioni tunalinganisha na la kwake. Mama E yaani dah!
Tunaanza kujadili , sasa ubaya ni muda uwe sio wa kuongeleza zigo mtu aanze kulizungumzia.
AHAHAHAAA shift ya fun to jealousy huwa sijui inabadilika dk ya ngapi.
Sasa naacha kumletea sasa, nimejikuta kabisa katia story najua zinatupa furaha ni wanawake wenye mizigo yao!