Ktk Maisha yangu, nimewai Kuishi na mwanamke anapenda kugombana, Niliona hiyo hali ya kugombana Kila mara, niimpa tu taarifa kua mda si mrefu tutachana, akaulizia Mali nikamwambia tutagana,sitaki usumbufu ktk Maisha nikamuacha nikaendelea na Maisha yangu.