Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kwa nini Wanaume uchagua wanawake wenye sura nzuri, maumbo mazuri na wenye kuvaa vizuri? Ukijibu hili swali, pia utakuwa umejibu unalouliza.

mbona tayari ushajijibu mwenyew kwasababu wana sura nzuri na maumbo mazur full misambwanda laaini
 

mm nilijaribi kumpa somo la matumizi ya pesa nikaona kichwa maji aelew acha nisepe sikumuaga
 
Safi sana baharia.. mi kuna demu niliachana nae alipodai anataka nimpeleke self container wakati nishapata chumba cha bei chee, 4000.. chumba hapa, choo na bafu mita 30.. alipoanza kuleta masharti nikasepa.. hawa wa short time wapunguze masharti..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah, mbona balaa mzee,hiyo hela kwenye Business mtaji huo, doh, kweli ukiendekeza zinaa unafilisika.

Nakupa hongera kwa maamuzi uliyo fanya, upo sahihi, na mara nyingi matukio kama hayo ni kama yana laana, baada ya siku mbili unaitafuta hata buku tano kwa tochi[emoji23][emoji23], hela huioni hasa ukikumbuka ulichoma 150k for only one night, lazma uumie mzee.
 
Ni ujinga kumwachia changudoa akutawale.
 

bora ni lost mikeka yangu ya bet na lost ht 300k lkn sio kulipia chumba cha 150k kwaajil ya mbunye tena masaa wakat kuna mbunye simple tu bureee bwerereee
 
Mjini mipango!
 
Wanawake wa aina yako mara nyingi sana hugongewa kwenye gari! Bisha na wwe kama hujawai,Mungu anakuona hapa!!
 
Ukiwa na million 200 au zaidi bank zinapumua tu hata kulipia 700K per night pale Ramada sio ishu nini 150k bana.

Ukiona muhuni yupo sensitive na hela jua kuwa GDP ni chini ya dollar 3 kwa siku huwezi kuvimba huku unaumia mzee😅
 
"Kizuri mimi nimuwazi nakwambia baby mpaka nakuja kwako na mimi kuna gharama nimeingia, zawadi kibao nimekubebea nguo kali nimekubebea zote jumla haviko chini ya laki wewe unilaze vyumba vya buku 20? Hapana baby unatakiwa na wewe kuingia gharama kidogo.its whether tulale hotelini au unipeleke kwako."

Heeee hivi wanawake kama hawa 👆👆 wapo, hongera sana. Si wengine zawadi tunazoletewa soksi, leso, boxer na kauwoshi,ukimwabia baby basi nibadilishie zawadi hizi nisha zizoea wenyewe wanatuambia "mimi sio mama yako.........",basi unajua huyo ni wakupita.

Hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…