Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Oh kumbe unajiweza...sasa nikikupeleka chumba cha laki tatu sii nitapata fursa ya kupaoasa miguu ya bia hiyo😝😝
 
Oaneni, uzinzi na uasherati ni uchafu na haramu.

Unafanya mwenyewe haramu halafu unamlalamikia nani? "Mali ya mlevi huliwa na mgema".
 
Wewe wacha watu tule mbususu....sasa hapa duniani uteseke na huko motoni pia uteseke.🤣🤣🤣🤣
Huna sababu ya kujitesa halafu ulalamike, furahia kuteseka kwako. Sasa mnalalamika kwa wenyewe kutaka "matanuzi" ya haramu?

Oaneni mle vya halali.

1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Wee nae!Kwamba haujawahi kuzini tangu uzaliwe???
 
Oaneni, uzinzi na uasherati ni uchafu na haramu.

Unafanya mwenyewe haramu halafu unamlalamikia nani? "Mali ya mlevi huliwa na mgema".
Kwamba wewe umeolewa bila kufanya uzinzi.Au hayo umeyajua baada ya kupewa kitengo huko kwenye dhehebu flani.
 
Ha ha ha.....
Pole Sana mkuu.

Uyo mwanamke hakua level yako, sio kila mwanamke Unaweza mlaza kwny vyumba vyenye kunguni.

Kizuri gharama bro[emoji4]

mbona lodge nzur chini ya 30k zipo nyingi shida wanapenda ufahari
 
Huyo ni dalali bei halisi sio hiyo possible ilikuwa ni 50 kaenda kumpanga reception akuambie 150 ili ukilipa tu baada ya show anapitia 100 imeisha hiyo

labda ila kwa jins nilivyoona pale kwel bei iko juu
 

Huo ni mtazamo wako upo sahihi lkn mm lengo langu lilikuw ni kupunguza gharama ambazo hazina ulazima hapo bado nikitoka tena ningemtoa na yeye pesa ya kidg ya matumizi yake

Bora ww 50k na breakfast juu mm 150k vyakula juu yangu menu ya pale aseh ni kiboko nikaona bora nikose mbunye tu nisepe japo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…