Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Kuna baadhi ya dini zinafundisha kuwa zinaa inatia ufukara ( umasikini ) ... ila hapo naona mwanamke anakuwa amepanga bei ya chumba na muhudumu yaani itayobaki ni yake.. kwanza pili hizo nyumba za wageni za bei ya juu huwa ni self - salama; kwa kuonwa na manyaku kama mmedate: ukiziringanisha na hizi za bei chee/ rahisi
 
Ulifanga jambo la maana sana. Huyo dem hajui ata Cost efficiency. Hapo unalipia hio 150k alaf unakuta show za hvyo hvyo tu.
 
Na wewe inakuwaje demu ndo atafute lodge, broo mark my words hilo kosa usirudie tena unakuja kuliwa kiboga kizembezembe!
 
Ni mbinu nzur ya kibiashara😀😀
 
Oaneni, uzinzi na uasherati ni uchafu na haramu.

Unafanya mwenyewe haramu halafu unamlalamikia nani? "Mali ya mlevi huliwa na mgema".
Kwani wakioana ndio gharama zitapungua? Tena hapo akimuoa mwanamke kama huyo ndio gharama za maisha zitaingezeka maana inaonekana huyo dem anapenda ufahari sana kwaiyo akishindwa kumpatia vile anavyopenda atatafta mtu nje wa kumpatia.

Alaf kuoa sio mwisho wa kwenda kulala Lodge au hotelin. Kuna mda utaitaji quality time na mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…