Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

Una akili sana
 
Madem type ya Tunda hao. Wanaoenda exoensive hotel rooms wakajipige picha wavimbe instagram
Wana-add value kwenye udangaji wakienda hotel kama hizo. Kesho akikutana na mzembe mzembe anaenda kupelekwa hotel ya 300k.
 
Inategemea na unavyojipambanua kwake,kama unamwambiaga kazini kwako wewe ndio bosi na ukienda kwake unaazima gari lazima akupige mzinga wa kiwango cha lami,lakini ukipiga nae stori ukamwambia kazini kwako unakulaga wali maharage ila unaomba wakupakulie kwa mwiko wa nyama atakupiga mzinga wa barabara ya kiwango cha vumbi.
 
Dunian tunaishi mara moja enjoy life 150 sio mbaya km mtoto ananukia vizur ana viwango kimuonekano toa pesa bro ndo matumizi yake ayo
Mwanamke haweZi kukuomba laki km hadhi yako ni elf10 nazan kulingana na hadhi yako au jinsi ulivyojiweka kaona apo ndo panafaa
 
Manyaku ndio nn ndugu?
 
Dah mkuu hii yako kali
 
hii kweli mkuu, kuna wengine kutoka out hadi mkesha wa mwaka mpya, baada ya kupewa somo na padri, wiki la familia...hahahahaha
 

Haha.
 
km ulikuepo vile akasema yan tulikuwa na masaa mawili ya kuperform show alaf aende kupeleka gar sijui wap alaf arud badae sa4 ya usiku au sa6...nikaona hiyo ndio haifai kabisa hata kutoa pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
hii kweli mkuu, kuna wengine kutoka out hadi mkesha wa mwaka mpya, baada ya kupewa somo na padri, wiki la familia...hahahahaha
Watu wanazania ukisha muoa bas hutakiwi kumpeleka Lodge au hotelin tena.
 

Kwa nini Wanaume uchagua wanawake wenye sura nzuri, maumbo mazuri na wenye kuvaa vizuri? Ukijibu hili swali, pia utakuwa umejibu unalouliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…