Kwanini wanawake mnakimbilia kupanga mkipata kazi?

Binti akijiingiza kwenye maisha ya kupanga bila kipato cha uhakika ni razima awe kahaba usipindishe maneno.
 
Sio wanawake tu, hata vijana wa kiume wakipata ajira hukimbilia zao kujitegemea.

Unataka uendelee kudharaulika nyumba za watu na tayari una access ya kipato?! Simama mwenyewe na mtu timamu anatakiwa awe na maamuzi hayo!
Mzazi kumruhusu binti yako kwenda kupanga bila sababu za msingi jua ww ni mzazi wa hovyo na ahumthamini binti yako.
 
Sio wanawake tu, hata vijana wa kiume wakipata ajira hukimbilia zao kujitegemea.

Unataka uendelee kudharaulika nyumba za watu na tayari una access ya kipato?! Simama mwenyewe na mtu timamu anatakiwa awe na maamuzi hayo!
Nina huyo mwanangu.
Uwa namuuliza kwanini ulipanga wakati kwenu ni hii hii Kinondoni. Anajibu, ana mshahara wa kumtosha kwanini aendelee kubaki home ale ugali wa shikamoo.
 
Hii ndo shida ya watz hantumii Akili kujibu hoja Bali mnajibu tu yaani hausomi kuelewa unasoma ili kujibu.
Hakuna cha hoja hapo ww unataka kupindisha maneno kwa kitu ambacho kiko dhahiri.
Mabinti karibia wote walio panga geto ni wauzaji wa k mzazi mwenye akili hawezi kumruhusu binti yake aende kupanga geto .
 
na wewe pia

Ndio maana unawasingizia watoto wa watu wenye income za laki 2. Pasipo kuelewa mambo ya ngozi hayaangalii ni una hela au huna. Kama ngozi ni chachu itabaki kuwa chachu tu. Mf mdogo angalia humo kazini kwenu
Nilichotaka mm ni kuwasilisha tu Uhalisia content yangu Wala sio ngozi ya mtu.. Ila we Inawezekana una ngozi ngumu mno maana hata sura hyo utaki tuione hapo kwa Avatar πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…