Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

Nataka upate mfano wa mwanamke mwenzko ili akili uako itoke wenge
Tatizo husimamii unachokiamini,wakati huohuo unadai wanawake hawana mchango kwenye familia, wakati huo huo anasema nchi nzima umeona wanawake wakihangaika mashambani haitoshi unatupa na mfano wa mama Samia jinsi anavyochangia kwenye familia hapa Sasa msimamo wako Ni upi?
 
Aisee mkuu wewe sasa ndio mwanaume wa ukweli, mwanaume halalamiki kama inavyokua humu Hadi inatisha kabisa kufikiria hii ndio aina ya wanaume walioko huku nje? Wanaume tunavyowajua wanawake ni watu wakuja na suluhisho hivyo ndivyo wanaume walivyo, when a woman fails a man is expected to have a solution sio hiki kinachotokea ndio maana mnazidi kudharauliwa na hao wanawake wenu maana hamjui hata roles zenu kama wanaume.
Hebu rudini jaman kwenye nafasi zenu acheni hii kitu haiwasaidii ndio inazidi kuwaharibia
 
Nimempenda bure
 
Hakika mkuu, wako karibu sana na shetani
Mwanamke sio wa kumuamini hata kidogo, na utapo anza muamini ndio mwanzo anguko tena anguko kubwaaa kweli.. Nakumbuka nilikuwa na mwanamke zamani akaanza ni set hela zote niwe nampa yeye ndio anaweza zisimamia mie nina matumizi mabayaaa.. nilikuwa mwezi mmoja tu.. picha ilipo anza kuni bajetia tu nikalala na mbelele .. yani hela yako ila inakutesa ukiomba hata laki kama unaomna mkopo bank 🤣🤣🤣
 
Pasu kwa pasu mtu anakaa ndani tu, bora wakenya wamepitisha sheria kila mtu ataondoka na chake
 
Mbegu ya Aina yako inabidi itunzwe maabara kwa gharama yeyote Ile.
 
Ukikua ndiyo utajua haujui, Bill Gates na Jeff Bezo waliachwa na walikua wana provide A-Z . Ukiwajua wanawake utajuta kujiongelesha mambo ya kizembe kama haya
 
Pasu kwa pasu mtu anakaa ndani tu, bora wakenya wamepitisha sheria kila mtu ataondoka na chake
Anayekupikia, kukufanyia usafi wako binafsi na nyumba yako, kukulelea watoto, kukulindia nyumba vyote hvyo hujaona....
Wanaokuja na hoja hizo wana element za ushoga na hivyo kuona mwanamke anafaidi. Kwamba alikuja kama alivyo anaondoka na 50%
 
Ukisema ni asili unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wako ila to me its different. Jamii imejengeka kwa utofauti sana na malezi tofauti.

Ndio maana kuna wanawake wako independent af kuna wengine dependent. Kuna wanawake generous na wengine ni selfish.

Combination nzuri ni ile ya mwanamke independent na generous. Wenye aina hii ndio wanainjoy ndoa zaidi.
 
Mada yenyewe mmepost saa 11 alfajiri Hahaha
Kuna watu huwa nawaheshimu sana humu kiasi kwamba nawaonea aibu
Hahaha basi
Kwamba nimepania, asubuhi yote hivyo, usingizi ulikata nikawa najitafakarisha
 
Dada wa kazi ndio anabeba mimba za watoto na kuwanyonyesha,au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…