berylyn
JF-Expert Member
- Dec 26, 2021
- 877
- 2,618
Mwanamme ukimpa pesa anaenda kuhonga wanawake wengine.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo husimamii unachokiamini,wakati huohuo unadai wanawake hawana mchango kwenye familia, wakati huo huo anasema nchi nzima umeona wanawake wakihangaika mashambani haitoshi unatupa na mfano wa mama Samia jinsi anavyochangia kwenye familia hapa Sasa msimamo wako Ni upi?Nataka upate mfano wa mwanamke mwenzko ili akili uako itoke wenge
Wapuuzi sanaMwanamme ukimpa pesa anaenda kuhonga wanawake wengine.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Hakuna mwanaume anataka pesa yako, shiriki kwenye ujenzi wa mahusiano au familiaMwanamme ukimpa pesa anaenda kuhonga wanawake wengine.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Aisee mkuu wewe sasa ndio mwanaume wa ukweli, mwanaume halalamiki kama inavyokua humu Hadi inatisha kabisa kufikiria hii ndio aina ya wanaume walioko huku nje? Wanaume tunavyowajua wanawake ni watu wakuja na suluhisho hivyo ndivyo wanaume walivyo, when a woman fails a man is expected to have a solution sio hiki kinachotokea ndio maana mnazidi kudharauliwa na hao wanawake wenu maana hamjui hata roles zenu kama wanaume.Sawa.. nakubali.
But if sisi kama wanaume we are so perfect,
Kwanin tusibadilike?
Mi nna wazo, instead ya kila siku kukomaa kukataa ndoa na kuwaponda wanawake,
Kwanini sasa tusigeuze gia na kuanza kuwaelekeza hawa hawa wanawake jinsi ya kuishi na sisi?
Maana smtyms tunawalaumu lakini yaweza kua either hawajui what we want, au pia sisi wenyewe tumekua reason ya haya yote.
Kila stori ina pande mbili
Nimempenda bureAisee mkuu wewe sasa ndio mwanaume wa ukweli, mwanaume halalamiki kama inavyokua humu Hadi inatisha kabisa kufikiria hii ndio aina ya wanaume walioko huku nje? Wanaume tunavyowajua wanawake ni watu wakuja na suluhisho hivyo ndivyo wanaume walivyo, when a woman fails a man is expected to have a solution sio hiki kinachotokea ndio maana mnazidi kudharauliwa na hao wanawake wenu maana hamjui hata roles zenu kama wanaume.
Hebu rudini jaman kwenye nafasi zenu acheni hii kitu haiwasaidii ndio inazidi kuwaharibia
Mwanamke sio wa kumuamini hata kidogo, na utapo anza muamini ndio mwanzo anguko tena anguko kubwaaa kweli.. Nakumbuka nilikuwa na mwanamke zamani akaanza ni set hela zote niwe nampa yeye ndio anaweza zisimamia mie nina matumizi mabayaaa.. nilikuwa mwezi mmoja tu.. picha ilipo anza kuni bajetia tu nikalala na mbelele .. yani hela yako ila inakutesa ukiomba hata laki kama unaomna mkopo bank 🤣🤣🤣Hakika mkuu, wako karibu sana na shetani
Apandae uovu atavuna uharibifu. Umefanya kosa omba msamaha kwa kosa lako sasa wewe unataka pesa zako ndio zifukie kosa? Mbona havihusianiUsije ukamthamini mwanamke hata siku moja, ishi naye mguu mmoja nje.
Unaweza kumhudumia miaka 10 ukaja kufanya kosa moja kubwa akakacha, hawakumbuki fadhila
Pasu kwa pasu mtu anakaa ndani tu, bora wakenya wamepitisha sheria kila mtu ataondoka na chakeRoho ya mtu haina elimu. Zile nyumba kule machame ambazo wanaume wake wamekufa wamebaki wamama nao wale wamama wamesoma sana ee??
Roho ya mtu kama mbaya mbaya tu tena bora hata aliyesoma anajua kujitafutia.
Lakini pia mgawanyo wa mali ni wa kisheria kwamba nyie ni wana ndoa. Mmeachana mali pasu kwa pasu....hapo kosa ni la mwanamke??
Mbegu ya Aina yako inabidi itunzwe maabara kwa gharama yeyote Ile.Aisee mkuu wewe sasa ndio mwanaume wa ukweli, mwanaume halalamiki kama inavyokua humu Hadi inatisha kabisa kufikiria hii ndio aina ya wanaume walioko huku nje? Wanaume tunavyowajua wanawake ni watu wakuja na suluhisho hivyo ndivyo wanaume walivyo, when a woman fails a man is expected to have a solution sio hiki kinachotokea ndio maana mnazidi kudharauliwa na hao wanawake wenu maana hamjui hata roles zenu kama wanaume.
Hebu rudini jaman kwenye nafasi zenu acheni hii kitu haiwasaidii ndio inazidi kuwaharibia
Uzi umeandikwa kwa kutumia akili sana...Uchoyo na ubinafsi wa wanawake
Ndo kiini Cha kampeni ya KATAA NDOA
Ukikua ndiyo utajua haujui, Bill Gates na Jeff Bezo waliachwa na walikua wana provide A-Z . Ukiwajua wanawake utajuta kujiongelesha mambo ya kizembe kama hayaAisee mkuu wewe sasa ndio mwanaume wa ukweli, mwanaume halalamiki kama inavyokua humu Hadi inatisha kabisa kufikiria hii ndio aina ya wanaume walioko huku nje? Wanaume tunavyowajua wanawake ni watu wakuja na suluhisho hivyo ndivyo wanaume walivyo, when a woman fails a man is expected to have a solution sio hiki kinachotokea ndio maana mnazidi kudharauliwa na hao wanawake wenu maana hamjui hata roles zenu kama wanaume.
Hebu rudini jaman kwenye nafasi zenu acheni hii kitu haiwasaidii ndio inazidi kuwaharibia
Kumbuka amekula na kunywa kwako mda wote huoApandae uovu atavuna uharibifu. Umefanya kosa omba msamaha kwa kosa lako sasa wewe unataka pesa zako ndio zifukie kosa? Mbona havihusiani
Anayekupikia, kukufanyia usafi wako binafsi na nyumba yako, kukulelea watoto, kukulindia nyumba vyote hvyo hujaona....Pasu kwa pasu mtu anakaa ndani tu, bora wakenya wamepitisha sheria kila mtu ataondoka na chake
Hio ndio maana halisi ya mwanamke ni mtu ambae hana tofauti na TAPELIMwanaume mwenye aweza kumwoa mwanamke maskini
Mwanamke mwenye hela hawezi kuolewa na mwanamme maskini
Ukisema ni asili unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wako ila to me its different. Jamii imejengeka kwa utofauti sana na malezi tofauti.........unachosema mkuu ni kweli ingawa hicho tunachokiona kama ubinafsi Mimi nafikiri wanaume tubadili mindset tu na tukubali.......hiyo ni nature na ndio asili ya uumbaji Kwa mwanamke, kiasili yeye ni mpokeaji na wanaume ni watafutaji na watoaji na ndio dhana ya kichwa Cha familia....labda tungejadili kukithiri Kwa hiyo hali(being too much) kiasi ambacho unahisi hakuna mapenzi au mwanaume unakomolewa, ambapo bado una access ya kumuacha huyo mwanamke......Sasa kama jogoo tu anapambana kumtafutia manzi ake ambae ni mtetea itakuaje Kwa sisi wanadamu....tuache kutafuta wanawake Kwa misingi ya titi, hipsi na tako au kudate slay queens wengi wadangaji then tunalaumu kuwa wanyonyaji....
Kwamba nimepania, asubuhi yote hivyo, usingizi ulikata nikawa najitafakarishaMada yenyewe mmepost saa 11 alfajiri Hahaha
Kuna watu huwa nawaheshimu sana humu kiasi kwamba nawaonea aibu
Hahaha basi
Dada wa kazi ndio anabeba mimba za watoto na kuwanyonyesha,au sio?Kuna wanawake hawafanyi hayo, kila kitu kinafanywa na dada wa kazi au kwa jina jingine mlinzi wa nyumba ndio hutenda yote hayo na imefika hatua siku hizi hususani mtaani huku wababa wengi ndio huwapeleka watoto wao shule tofauti na zamani, mama hakuna anachokifanya mzigo wote kwa baba kuanzia kumuandaa mtoto mpaka kumpeleka mtoto shule kwa wale ambao hawana wafanyakazi wa ndani Ila mama yupo tu kabweteka anasubiri pesa ya vicoba na kupaka rangi kucha na kubadirisha Madera na mawigi basi HAKUNA kingine anachowaza zaidi, kingine anavuta upepo tu mvurugane achukue watoto aendelee kupiga pesa za matunzo na agombee mgawanyo wa Mali, sasa hio haileti picha nzuri mnaonekana ni wapigaji tu