Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

Huwezi kujua ukubwa wa pori ulimo mpaka utoke nje ya pori,aliyekuambia wewe ni brotherman ni nani?aliyekuambia wewe ni handsome man ni nani? aliyekuambia crown ni ndinga pendwa ni nani?
Wasichana wengi Wana wasiwasi kuwa unaweza kuwa shoga.
 
Hii imenitokea Sana huku Kanda ya ziwa true kabisa
 
Uwenda kwasababu
Mabrazameni = undercover simp

Hakuna tatizo kuwa simp.
Shida inakuja pale unapohitajika ku meet demand ya energy inayohitajika na mwanamke .

Thus why!
Unaona anakosa amani na utulivu
Kwasababu anajua upo soo weak rahisi kutekwa na wanawake wengine. . Hebufikiria gold digger kapata chimbo la madini unadhani atawaalika na wengine kuja kulitembelea .

Achana na disfunctional brazameni,
Hebu fanya tafiti na kundi lenyewe wanawake wanakuwa inchrested na wanakuwa na amani wakiwa kweny mahusiano.
 
Ukute mleta mada ni muhaya
 

Kuvaa vizuri ni hizi tshirt mpauko za kariakoo ama mjinga mimi [emoji28]
 
Kuvaa vizuri ni hizi tshirt mpauko za kariakoo ama mjinga mimi πŸ˜…
Yaah mkuu hizohizo, ukizipangilia vizuri unapendeza Fresh tuu...

Kama Nguo zingekua hazipauki mkuu, Mzunguko wa biashara ungekua mgumu sana...

So ikianza kupauka unacheki nyingine, ndio mzunguko wa maisha mkuu, Kila mmoja apate, Tunasaidiana...
 
Crown nayo gari?
Kijana unaumri gani kwani, mbona oil level y akili zako ipo chini sn
 
Wangu alikua hana izo characters zote na bado alinipiga tukio, hayana formula mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…