Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imenitokea Sana huku Kanda ya ziwa true kabisaKwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc, sio waongeaji sana,ni mahandsome kwa mbali, haturingi, tumeenda enda vidato, tumetembea tembea hii dunia hivyo tuna exposure flani,hatuna cycle kubwa ya the so called friends na mengine kadha wa kadha.
So recently kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya nimegundua sisi wanaume mabrothermen tukiwa na mahusiano hasa na wanawake wa hapa kwetu Tanzania, hawa wanawake wana tabia ya kutojiamini kabisa,hivyo kupelekea mahusiano kufa na kuonekana kuwa sisi mabrothermen ni wazee wa hit and run kitu ambacho sio kweli kabisa.
Kautafiti kangu kalienda mbali zaidi na kugundua kuwa hawa wanawake huwa hawana amani kabisa wawapo na sisi brothermen.
So ebu naomba mnisaidie kunijibu kwa nini hii hali huwakuta wanawake wanapokua kwenye mahusiano na sisi mabrothermen?
Uwenda kwasababuKwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc, sio waongeaji sana,ni mahandsome kwa mbali, haturingi, tumeenda enda vidato, tumetembea tembea hii dunia hivyo tuna exposure flani,hatuna cycle kubwa ya the so called friends na mengine kadha wa kadha.
So recently kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya nimegundua sisi wanaume mabrothermen tukiwa na mahusiano hasa na wanawake wa hapa kwetu Tanzania, hawa wanawake wana tabia ya kutojiamini kabisa,hivyo kupelekea mahusiano kufa na kuonekana kuwa sisi mabrothermen ni wazee wa hit and run kitu ambacho sio kweli kabisa.
Kautafiti kangu kalienda mbali zaidi na kugundua kuwa hawa wanawake huwa hawana amani kabisa wawapo na sisi brothermen.
So ebu naomba mnisaidie kunijibu kwa nini hii hali huwakuta wanawake wanapokua kwenye mahusiano na sisi mabrothermen?
Unamjua??Huyu sio handsome
Ukute mleta mada ni muhayaKwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc, sio waongeaji sana,ni mahandsome kwa mbali, haturingi, tumeenda enda vidato, tumetembea tembea hii dunia hivyo tuna exposure flani,hatuna cycle kubwa ya the so called friends na mengine kadha wa kadha.
So recently kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya nimegundua sisi wanaume mabrothermen tukiwa na mahusiano hasa na wanawake wa hapa kwetu Tanzania, hawa wanawake wana tabia ya kutojiamini kabisa,hivyo kupelekea mahusiano kufa na kuonekana kuwa sisi mabrothermen ni wazee wa hit and run kitu ambacho sio kweli kabisa.
Kautafiti kangu kalienda mbali zaidi na kugundua kuwa hawa wanawake huwa hawana amani kabisa wawapo na sisi brothermen.
So ebu naomba mnisaidie kunijibu kwa nini hii hali huwakuta wanawake wanapokua kwenye mahusiano na sisi mabrothermen?
Huyu mnafiki unamweka kweliMpaji Mungu na Half american nanyi ni mabrothermen?
Nani tena?Huyu mnafiki unamweka kweli
Mpaji MunguNani tena?
Mdogo wangu kakunafikia nini tena jamani🙆♀️🙆♀️
Huyu anajifanya upo juu juuu kumbe anakutime tu akikupatia unanitwa majina kama geresa ligeresa fulani hiviMdogo wangu kakunafikia nini tena jamani🙆♀️🙆♀️
Wanaume ambao Tumepambana, Tuna maisha fulani [sio mazuri kiviiile], Tunajielewa , Tuna dress better, Hatuongei sana, Tunasikiliza watu, hua Tunachorwa kama watu wenye akili na Tunasukumwa na malengo...
Hatuna hofu ya kupoteza chochote kile ikiwemo mwanamke , sababu tuna kitu kinacho tusukuma zaidi kuliko chochote..
Wanawake hua wanatuogopa sababu hua wanatambua watu wa aina hii hatupendi ujinga , Tunahitaji mke sio demu, Wanawake wanakua na hofu like "Hivi namtendea mambo sahihi kweli?, Nikiomba pesa si ataona napenda hela zake? Nikimkosea si ataniacha, ntakua nimechezea bahati ?"
Mimi pia ni Gentleman, Nina experience ya kutosha kwenye hili..
Tupambanee.
Yaah mkuu hizohizo, ukizipangilia vizuri unapendeza Fresh tuu...Kuvaa vizuri ni hizi tshirt mpauko za kariakoo ama mjinga mimi 😅
Crown nayo gari?Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc, sio waongeaji sana,ni mahandsome kwa mbali, haturingi, tumeenda enda vidato, tumetembea tembea hii dunia hivyo tuna exposure flani,hatuna cycle kubwa ya the so called friends na mengine kadha wa kadha.
So recently kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya nimegundua sisi wanaume mabrothermen tukiwa na mahusiano hasa na wanawake wa hapa kwetu Tanzania, hawa wanawake wana tabia ya kutojiamini kabisa,hivyo kupelekea mahusiano kufa na kuonekana kuwa sisi mabrothermen ni wazee wa hit and run kitu ambacho sio kweli kabisa.
Kautafiti kangu kalienda mbali zaidi na kugundua kuwa hawa wanawake huwa hawana amani kabisa wawapo na sisi brothermen.
So ebu naomba mnisaidie kunijibu kwa nini hii hali huwakuta wanawake wanapokua kwenye mahusiano na sisi mabrothermen?
Wangu alikua hana izo characters zote na bado alinipiga tukio, hayana formula mzeeKwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc, sio waongeaji sana,ni mahandsome kwa mbali, haturingi, tumeenda enda vidato, tumetembea tembea hii dunia hivyo tuna exposure flani,hatuna cycle kubwa ya the so called friends na mengine kadha wa kadha.
So recently kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya nimegundua sisi wanaume mabrothermen tukiwa na mahusiano hasa na wanawake wa hapa kwetu Tanzania, hawa wanawake wana tabia ya kutojiamini kabisa,hivyo kupelekea mahusiano kufa na kuonekana kuwa sisi mabrothermen ni wazee wa hit and run kitu ambacho sio kweli kabisa.
Kautafiti kangu kalienda mbali zaidi na kugundua kuwa hawa wanawake huwa hawana amani kabisa wawapo na sisi brothermen.
So ebu naomba mnisaidie kunijibu kwa nini hii hali huwakuta wanawake wanapokua kwenye mahusiano na sisi mabrothermen?
😁😁😁Kwa uandishi huu wewe tayari ni chakula cha P Diddy. Pole sana.
😁😁Utoto raha sana.
Muamsheni huyu asije akajikojolea.