Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ningezingatia zaidi hii statement kama ingetolewa na mwanaume. Lakini suala la mwanamke kuwa msemaji wa wanaume, i smell something fishy.Vitu vyote ambavyo havina faida mwanaume hafanyi, chukua hii weka mfukoni.
Unakimbia mada … Huwa unawasemea wanawake nani aliwahi kukupa usemaji!Ningezingatia zaidi hii statement kama ingetolewa na mwanaume. Lakini suala la mwanamke kuwa msemaji wa wanaume, i smell something fishy.
Pyeeeeeeeee😂Hauna akili
Ni mweupe kichwani hana ajualo zaidi ya makasiriko juu ya wanawakeUnakimbia mada … Huwa unawasemea wanawake nani aliwahi kukupa usemaji!
Hakuna siku ambayo nishawahi kumsema mwanamke binafsi.Unakimbia mada … Huwa unawasemea wanawake nani aliwahi kukupa usemaji!
🤔🤔Hakuna siku ambayo nishawahi kumsema mwanamke binafsi.
Dah hii vita ni kali sana acha nisabuskraibu hii sledi pendwaNa mimi nakugeuzia swali hilo hilo, ukitolewa kende zako unabaki na nini?
Kaandika kianaharakati sana huyo Dr. Mariposa.Mtu anahudumiwa hadi pedi aseme ana-run dunia, mkuu kuwa na huruma na wanaume aisee!
Je huwa wanachangia? Na ni kwa kiasi gani?Achana na mawazo na malumbano ambayo mengine ni changamsha genge tu, Je katika uhalisia wanawake wengi wenye vipato walio katika familia huwa hawachangii kuhudumia familia zao??
Swali ni rahisi tu, haya maelezo mengine sijui umetoa wapi. Kwanini licha ya kutaka 50/50 mnataka kuhudumiwa?Halafu utasikia "ukiondoa pussy yake, hana alichobakiza" ajabu hao hao ni 24/7 kuwaongelea wanawake,
wanawake this, wanawake that,
WHO RUN THE WORLD......WOMEN👑🎊🥳
Suala la liability ni finyu sana kwako.
Unajua kwa kiasi gani wanaume ni liability? na unajua inatakiwa iweje mwanaume asiwe liability? Kwahivyo nakwambia kwenye mahusiano/ndoa kila mtu ni liability kwa mwenzie, Tatizo huwa mnapima liability kwa kuihusisha na pesa tu.
Unfortunately women wanafanya emotional & mental labor + physically labour, They are baby making machines, unpaid therapists and sex dummies , mtu kama huyu unamuitaje liability….?
Kwa wanawake, CHAKE CHAKE, CHAKO CHAKE PIA!Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani
Shame!!