Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Huyo Sheikh alimaindi baada ya majirani wa Dida kugoma kwenda kuagia makaburini wakisema kwamba kwa nini hajapelekwa nyumbani kwake alikokuwa anaishi akaagwe kwa mara ya mwisho?

Walichofanya hao majirani, na wao wakaenda huko huko makaburini, wanaume kwa wanawake.

Sasa kama wao waliweka ratiba ya kuagia iwe makaburini walitegemea mashoga zake wasiende makaburini kwenda kuaga?

Badala ya kubwata na wanawake walioenda makaburini kuaga, wangedili na walioandaa ratiba ya mazishi.

Kila dini ina sheria na taratibu zake.
Taratibu na Sheria mama kwenye dini yeyote Ile iwe Islam au Ukristo huwa ni Maandiko matakatifu (QURAN & BIBLIA)

Ndiyo maana binafsi ninataka kufahamu kama Quran Ina maelekezo yeyote kuhusu hili suala la Wanawake kutokwenda makaburini wakati wa mazishi!

Kama hakuna andiko na zinatumika kanuni na Sheria tu (Utamaduni) basi nadhani itakuwa Batili kwasababu Sheria na kanuni huweza kubadilishwa na yeyote lakini Msaafu haubadiliki!
 
Swali halijajibiwa bado
Jibu hili hapa
FB_IMG_17280968450633406.jpg
 
Sijafurahishwa na matusi kutoka kwenu nyote wawili...
Ni tafsiri mbovu tu za dini yenyewe. Huko Saudi Arabia hadi mwaka 2015 wanawake walikuwa hawaruhusiwi kuendesha magari.

Ila alipokuja mwana wa mfalme Mohamed Bin Salaman akaona kuwa ni UDWANZI wala Quran haijawazuia.

Akaruhusu waanze kuendesha kuanzi mwaka 2017 hadi leo.

Waislamu acheni kukariri, kuweni extrovert
 
Ni tafsiri mbovu tu za dini yenyewe. Huko Saudi Arabia hadi mwaka 2015 wanawake walikuwa hawaruhusiwi kuendesha magari.

Ila alipokuja mwana wa mfalme Mohamed Bin Salaman akaona kuwa ni UDWANZI wala Quran haijawazuia. Akaruhusu waanze kuendesha kuanzi mwaka 2017 hadi leo.

Waislamu acheni kukariri, kuweni extrovert
Kama ndivyo watakuwa wanakosea sana mkuu!
 
Swali halijajibiwa bado

Katika jamii nyingi za Kiislamu, kuna mitazamo tofauti kuhusu wanawake Waislamu na haki zao za kutembelea makaburi. Masuala haya yanahusiana na imani, mila, na tafsiri za Qur'ani na Hadithi. Katika makala hii, tutachunguza sababu mbalimbali zinazohusiana na mtazamo huu, ikiwa ni pamoja na muktadha wa kidini, tamaduni za kijamii, na umuhimu wa kuelewa sheria za Kiislamu.

Muktadha wa Kidini

Katika Uislamu, kuna maelezo mbalimbali kuhusu wanawake na tembeleo la makaburi. Hadithi za Mtume Muhammad (s.a.w) zinaonyesha kuwa alikataza wanawake kutembelea makaburi. Katika baadhi ya matukio, alizungumza kuhusu huzuni na majonzi ambayo wanawake wanapitia wakati wa mazishi, na kwamba hii inaweza kuleta machafuko kwa familia.

Hadithi zinazohusiana

Katika hadithi moja, Mtume Muhammad (s.a.w) alisema: "Nimekataza kutembelea makaburi kwa wanawake." Hii inaashiria uelewa wa Mtume kuhusu hisia za wanawake na hali zao za kihisia. Katika mazingira ya kawaida, wanawake wanajulikana kwa kuwa na hisia zaidi na mara nyingi hufanya vitu kwa hisia kali.

Tafsiri za Kiislamu

Waislamu wana tafsiri tofauti za sheria za dini zao. Wengine wanaweza kuona marufuku hii kama ni ya muda mfupi, wakati wengine wanaweza kuiona kama sheria isiyoweza kubadilishwa. Tafsiri hizi zinaweza kutofautiana kati ya madhehebu tofauti, kama vile Sunni na Shia. Kila dhehebu lina msingi wake wa kidini na maadili yanayoelekeza maamuzi yao.

Maoni ya Madhehebu

- Sunni:
Katika madhehebu ya Sunni, kuna maoni tofauti kuhusu wanawake kutembelea makaburi. Baadhi ya wanazuoni wanakataa kabisa, wakitaja hadithi za Mtume, wakati wengine wanaona kuwa wanawake wanaweza kutembelea makaburi lakini wanapaswa kuwa na adabu na heshima.

- Shia:
Katika madhehebu ya Shia, maoni ni tofauti. Wanawake wanaweza kutembelea makaburi, hasa ya watu wa familia zao, lakini wanapaswa kufuata taratibu maalum ili kudumisha heshima.

Sababu za Kijamii

Kando na sababu za kidini, kuna sababu za kijamii ambazo zinaweza kuchangia mtazamo huu. Katika jamii nyingi za Kiislamu, wanawake mara nyingi wana jukumu la kulea watoto na kujihusisha na shughuli za nyumbani. Kutokana na hii, kutembelea makaburi kunaweza kuonekana kama sio sehemu ya majukumu yao ya kila siku.

Tamaduni na Mila

Katika tamaduni nyingi, mila zinachangia mtazamo wa wanawake na makaburi. Katika baadhi ya jamii, kuna imani kwamba kutembelea makaburi kunaweza kuleta bahati mbaya au laana. Hii inaweza kuwa na athari kubwa kwa wanawake, ambao mara nyingi wanategemea mila za kijamii katika maisha yao ya kila siku.

Kuelewa Hisia

Wanawake wanaweza kuathirika zaidi na matukio ya kifo kuliko wanaume. Hii inaweza kuwa kutokana na uhusiano wa karibu na wapendwa wao. Katika hali nyingi, wanawake wanajulikana kwa kuonyesha hisia zao waziwazi, na hii inaweza kuwa sababu ya wasiwasi kuhusu kutembelea makaburi. Wanapokumbana na huzuni, kuna uwezekano wa kujitokeza kwa hisia kali ambazo zinaweza kuwa vigumu kudhibiti.

Mabadiliko ya Kijamii

Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, mabadiliko ya kijamii yameleta majadiliano mapya kuhusu haki za wanawake Waislamu. Wanawake wengi sasa wanapigania haki zao, ikiwa ni pamoja na haki ya kutembelea makaburi. Hii inamaanisha kuwa mtazamo wa jamii unabadilika, na kuna haja ya kuangalia masuala haya kwa jicho la kisasa.

Wanawake katika Jamii ya Kisasa

Katika jamii za kisasa, wanawake wanashiriki katika shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kazi na elimu. Hii inamaanisha kuwa wanahitaji nafasi ya kujieleza na kushiriki katika matukio kama vile mazishi. Wanapofanya hivyo, wanajitahidi kudumisha heshima na taratibu za kidini, lakini wanataka pia haki zao kutambuliwa.

Hitimisho

Katika muhtasari, sababu za wanawake Waislamu kutokuruhusiwa kwenda makaburini zinahusiana na muktadha wa kidini, tafsiri za sheria, na sababu za kijamii. Ingawa kuna hadithi zinazokataza wanawake kutembelea makaburi, mtazamo huu unabadilika kadri jamii zinavyoendelea. Ni muhimu kufahamu hisia za wanawake na umuhimu wa haki zao katika muktadha wa Kiislamu.

Kuwepo kwa mazungumzo kuhusu masuala haya ni hatua muhimu katika kuelewa umuhimu wa wanawake katika jamii ya Kiislamu. Wanahitaji nafasi ya kushiriki katika matukio muhimu kama vile mazishi, huku wakiheshimu sheria na mila zinazohusiana na dini yao.
 
Swali la nyongeza; hao wanawake walioenda kwa Dida wameenda na amri ya ngapi kwenye Quran? na je waliokutwa huko makaburini ni wanawake wakristo au na wanawake waislamu walikuwepo?
Wote wamekutwa kwani si mabikra wameenda kuzika au?
 
Hapa wapi?
FB_IMG_17280968450633406.jpg
 
Ok mkuu nisamehe kuku -quote wewe peke yako!

Tuendelee Sasa mkuu,hebu kama una majibu yaweke hapa sote tujifunze!
Mkuu,hapa issue sio kwamba yanatakiwa majibu, hapa hata ukitoa majibu,hawawezi kukubaliana na majibu,au hata hayo majibu watayakashifu pia,

Ngoja nikujibu halafu utaona respond yao.

Wanawake ni dhaifu ukiwalinganisha na Wanaume,
Wanawake wana shindwa kujizuwia na huathirika na huzuni.

Hulia kwa kuomboleza kwa sauti jambo ambalo kwenye uislamu hairuhusiwi kulia kwa kuomboleza kwa sauti kwenye msiba.

Au wanaweza wakapoteza fahamu huko Makaburini, wakaanguka na kuzimia, au akaanguka na mavazi yake yakamtoka coz kwenye uislamu maziko ni ibada, wakati wa kuzika Makaburini ndio wakati wa machungu zaidi kwa wafiwa,sasa Wanawake ni wachache wa subira.
 
Mkuu,hapa issue sio kwamba yanatakiwa majibu,hapa hata ukitoa majibu,hawawezi kukubaliana na majibu,au hata hayo majibu watayakashifu pia,

Ngoja nikujibu halafu utaona respond yao,

Wanawake ni dhaifu ukiwalinganisha na Wanaume,
Wanawake wana shindwa kujizuwia na huathirika na huzuni,
Hulia kwa kuomboleza kwa sauti jambo ambalo kwenye uislamu hairuhusiwi kulia kwa kuomboleza kwa sauti kwenye msiba,
Au wanaweza wakapoteza fahamu huko Makaburini,wakaanguka na kuzimia,au akaanguka na mavazi yake yakamtoka coz kwenye uislamu maziko ni ibada,wakati wa kuzika Makaburini ndio wakati wa machungu zaidi kwa wafiwa,sasa Wanawake ni wachache wa subira.
Ahsante Kwa majibu mazuri mkuu!

Kwahiyo ni Sheria tu na kanuni ambazo waislam wamejiwekea au pia Quran imesema hivyo?
 
Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao ?
View attachment 3118314
Wamevaa vibandiko vichwani lakini hata dini hawaijui halafu wanajinasibu mitaani kama wanazuoni.
Uislam haukatazi mwanamke kwenda kuzika, bali imeshauriea tu. Swala hilo la mwanamke kwenda au kutokwenda kuzika limepelekea hata wanazuoni kugawanyika.
Sababu zilizopelekea ishauriwe wanawake kutokwenda kuzika ni;

1. Wanawake wapo too emotional na hawawezi kujizuia, hivyo wakati wa kushuhudia safari ya mwisho ya mpendwa wao hupelekea wengi kushindwa kujizuia na kuanza kulia kwa sauti na hivyo kuingilia na kuvuruga ibada.

2. Kwa maumbile yao, na kama ilivyozoeleka uwepo wa wanawake makaburini husababisha fitna (majaribu/ushawishi), hivyo kupelekea msoma mawaiza/dua pamoja na wengine badala ya kujikita kwenye kumuomba marehemu kwenye safari yake ya mwisho, badala yake fitna ya wanawake inaweza ikapelekea wahame katika dua na mawaiza na kuanza kufikiria mengine.

Hivyo, ieleweke kwamba swala la wanawake kutotakiwa kwenda kuzika siyo amri, yaani siyo katazo bali ni ushauri tu.
 
Back
Top Bottom