Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Leta kifungu cha Quran kinacholataza hilo.

Kuna nchi moja huko Asia inaitwa Afghanistan nayo imekataza wanawake wasiende shule. Nao wanadai Quran imekataza.

Kila Waislam wakitaka kumfanya mwanamke ni bidhaa husinguzia Quran. Acheni uwongo. Leta hilo katazo hapa kwa kunukuu Quran
Uislamu ni QURAN na SUNAH kwanza unaelewa hili jambo?halafu mimi nilikuwa namjibu kwa ujumla kuwa dini haina kwanini ukipewa amri ni kutii
 
Kuna Mashaka kwenye hadithi ndio sababu hata Mashia kuna hadithi wanazipinga ila kwenye Qur'an hakuna utata.
Hakuna tatizo hadith zenye mashaka zina fahamika na mashaka yake yameelezwa , ndio maana pamoja na mashaka lakini wote Suni kwa shia bado wanatumia hadith, ndio maana waprotestant waliacha vile vitabu 6 ambavyo Waroma wanavitumia mpaka leo, huwezi kuzuia watu kutafsiri au kutokukubaliana ipo hiyo siku zote
 
Kitu kikishakuwa na shaka kinapoteza credibility, ndio maana unakuta watu wanabase kwenye Qur'an ambayo haina shaka.
 
sasa magari yana husika vip na Uislamu?muwe mnaelewa kuwa Saudi Arabia sio utawala wa kiislamu ule, ni tawala za watu tu walizo jiamulia
Saudia Arabia sio utawala wa kiislamu? Mpogolo wa ifakara unaujua uislamu na kuishi uislamu kuliko wasaudia Arabia ambapo kibra ipo huko, ambapo Quran ilishushwa huko kwa ajili yao.

Huwa mnachekeshaga sana
 
Kitu kikishakuwa na shaka kinapoteza credibility, ndio maana unakuta watu wanabase kwenye Qur'an ambayo haina shaka.
udhaifu wa hadithi na usahihi upo wazi, wala hakuna cha kushangaza ndio maana watu wanakubaliana kwenye vingi, hivyo vichache tunavyotofautiana Mungu anajua nani sahihi
 
Saudia Arabia sio utawala wa kiislamu? Mpogolo wa ifakara unaujua uislamu na kuishi uislamu kuliko wasaudia Arabia ambapo kibra ipo huko, ambapo Quran ilishushwa huko kwa ajili yao.

Huwa mnachekeshaga sana
Mtume kazaliwa pale na kapambana na makafiri wa pale, utawala ule sio wa kiislamu ni wakifalme tu usiwe mvivu kufatilia basi, kule Israel serikali inaruhusu mpaka paredi za mashoga kwa akili zako utasema ni utawala wa kibiblia ule
 
Kwenye mwendokasi, kwenye daladala, shuleni, vyuoni mbona mnachangamana?
Kwasababu sio nchi inayofata sheria ya kiislamu, ila mkipata nafasi ya kufata sheria mnafata bila tabuu, kuzoeleka kwa haramu haifanyi kuwa ni halali
 
Kwenye mwendokasi, kwenye daladala, shuleni, vyuoni mbona mnachangamana?
Ni Kwa sababu hakuna Mabasi ya Kiislam, Kwa shule zinazofuata utaratibu wa Kiislam wanawake hutenganishwa na wanaume madarasani
 
Mtume kazaliwa pale na kapambana na makafiri wa pale, utawala ule sio wa kiislamu ni wakifalme tu usiwe mvivu kufatilia basi, kule Israel serikali inaruhusu mpaka paredi za mashoga kwa akili zako utasema ni utawala wa kibiblia ule
Saudi Arabia ni nchi ya kiislamu, inafuata sharia.

Israel mara nyingi hapa nimesoma na nasoma kuwa hawaupendi ukristo, wanaupiga marufuku ukristo, hairuhusiwi kumtaja kristo. Pia mara nyingi tumekubaliana Israel wakristo ni wachache kuliko hata waislamu na ipo hivyo.
 
Ni Kwa sababu hakuna Mabasi ya Kiislam, Kwa shule zinazofuata utaratibu wa Kiislam wanawake hutenganishwa na wanaume madarasani
Hapo sasa hakuna utofauti. Ni sawa na kenge anakimbia mvua alafu anaenda kuingia bwawani

Ukweli wa mambo kwa maisha ya sasa hayo mambo yenu yamepitwa na wakati. Hamtaki kuchangama na wanawake lakini kwenye mwendokasi mnabambiana, kwenye daladala mnapumuliana, Sasa mnakua mmefanya nini?
 
Ni kwanini Wakristo mnalazimisha Waislam wafanya mfanyavyo? Waislam na Qur An Yao imewaambia kwamba '...hawatokuwa radhi nanyi mayahudi na manaswara(Wakristo) mpaka mfuate Mila zao....'

....'Ninyi mna Dini yenu na wao Wana Dini yao'.

Kila mtu atekeleze maelekezo ya Dini yake
 
Saudi Arabia ni nchi ya kiislamu, inafuata sharia.

Israel mara nyingi hapa nimesoma na nasoma kuwa hawaupendi ukristo, wanaupiga marufuku ukristo, hairuhusiwi kumtaja kristo. Pia mara nyingi tumekubaliana Israel wakristo ni wachache kuliko hata waislamu na ipo hivyo.
1.Saudia Arabia ni nchi yenye waislamu wengi kwa maana ya wakazi sio nchi ya kiislamu kwa maana ya kuongozwa na Quran na Sunan, ile ni nchi ya kifalme tu ilio amua kufanya uislamu kuwa dini rasmi na kiarabu kuwa lugha rasmi hakuna la ziada pale , ndio maana wanarithishana tu babu, baba na watoto ile nchi

2. Waisrael wanasoma kitabu BIBLIA asa agano lake, lakini kila mwaka serikali ina ruhusu paredi la mashoga, huwezi kusema hii nchi inaongozwa na Biblia ni nchi ya kipagani hiyo hata kama wayahudi ndio wengi
 
Lengo langu ni kuonyesha kuwa hayo mnayosema hayana maana kwa sasa kwa maisha yaliyopo. Huwezi kukwepa kuchangama na wanawake
Nimekwambia haramu haiwezi kuwa halali kisa imezoeleka, lazima watu wakumbushwe kuwa jambo fulani sio sawa hata kama linafanyika
 
Back
Top Bottom