Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

mchanganyano wa jinsia kwakua huenda ukaleta athari hasi na zikasababisha watu kupata dhambi.
hatari, kuwa mkichangamana na wanawake mtu anaweza kuwaka tamaa akatenda dhambi. Swali kwani nikimuona mwanamke barabarani siwezi kumtamani na kutenda dhambi? Hizi dini hizi, zoooooooooooooote, nasema zote, na si uislamu tu, zote, ni rubbish , mambo ya kufikirika yasiyokuwa na logic........
 
Hapo sasa hakuna utofauti. Ni sawa na kenge anakimbia mvua alafu anaenda kuingia bwawani

Ukweli wa mambo kwa maisha ya sasa hayo mambo yenu yamepitwa na wakati. Hamtaki kuchangama na wanawake lakini kwenye mwendokasi mnabambiana, kwenye daladala mnapumuliana, Sasa mnakua mmefanya nini?
Hata huko falme za kiarabu tunachangamana vizuri kwenye bus, treni , boat sembuse huku bongo. Ni utamaduni ulipitwa na wakati
 
hatari, kuwa mkichangamana na wanawake mtu anaweza kuwaka tamaa akatenda dhambi. Swali kwani nikimuona mwanamke barabarani siwezi kumtamani na kutenda dhambi? Hizi dini hizi, zoooooooooooooote, nasema zote, na si uislamu tu, zote, ni rubbish , mambo ya kufikirika yasiyokuwa na logic........
Dini ya kiislamu sijui wanawake waliwakosea nini ?

Yaani mwanamke wa kiislamu hata bega tu likiwa wazi mwanaume wa kiislamu ananuna eti anampandisha nyege

Unakuta hata vitoto vichanga vidogo vya kike vimevalishwa hijabu gubi gubi visiwape matamanio wanaume aisee

Hiyo dini ya Mohamed ina shida
Hivi wanawake walimkosea nini huyo mohamed kuwa hata wanawake wakienda makaburini madudu yao yaliyo katikati ya mapaja ya wanaume wa kiislamu wawe maimamu nk lazima yanyanyuke kwenye kanzu yakiona wanawake makaburini
 
Religion is the opium of the people, huwezi kupata majibu critical kwa maswali ya namna hii.
 
Utachukua muda kuelewa sana hata ISIS walijitangaza ni Dola la kiislamu kule Iraq na Syria, kusema ni moja na kufanya ni mbili, hiyo nchi ni ya kifalme hakuna uhusiano na Dola ya kiislamu
Mkuu jibu hoja,hoja haipigwi rungu.
Je ni sifa zipi za nchi inayotakiwa kuitwa nchi ya Kiislamu?
 
Wakifa wanawake sehemu ambapo hakuna wanaume hii imekaaje?

Sehemu isiyokuwa na wanaume na kuwa na wanawake pekee ni wapi?Jela maalum za wanawake?Assumption zingine za kijinga haswa.Unashangaa kama mtu alishirikisha ubongo vizuri kabla ya kuandika.
Sio assumptions za kijinga, ana hoja. Mbona uislamu umeruhusu kula nguruwe ikiwa hiyo sehemu hakuna chakula kingine zaidi ya nguruwe na mtu anataka kula asife njaa.

Hapo mbona hujauliza ni wapi huko ambapo inaweza kutokea hakuna chakula kingine zaidi ya nguruwe
My country pipo 😂
 
Nimekuuliza sifa ya nchi ya kiislamu ni zipi? Kipi kifanyike ili ujue hii nchi ni ya kiislamu na ipi sio ya kiislamu?
Saudi Arabia wanatumia sharia laws, katiba yao inafuata Quran na sunna. Lipi tena lifanyike?
Kwanza ni lazima kiongozi mkuu wa Dola apatikane kwa shura sio kurithishana kwa damu kama uongozi wa ukoo, Saudi arabia ni dola ya ukoo ambayo inataka kutumia faida ya sehemu takatifu kuwa pale kujinufaisha ila ukweli wa mambo ile ni dola ya watu tu
 
Mkuu jibu hoja,hoja haipigwi rungu.
Je ni sifa zipi za nchi inayotakiwa kuitwa nchi ya Kiislamu?
Kwanza kiongozi mkuu wa dola la kiislamu ni lazima apatikane kwa shura, sio kurithishana kama serikali ya ukoo wa HIJAZ pale Saudi arabia
 
Nasubiri cmnt ya dada yangu kipenzi FaizaFoxy
Akatachosema ndiyo uzi utakuwa umepata jibu

Ova
 
Nasubiri cmnt ya dada yangu kipenzi FaizaFoxy
Akatachosema ndiyo uzi utakuwa umepata jibu

Ova
Mbona Kashamaliza, kasema wanawake hawakatazwi hakuna hiyo kitu kwenye Qur'ani, hadithi ni porojo tu, mazishi ni faragha ya familia hata wanaoingia kwenye kaburi wanateuliwa.

Hii ngoma lishangazi FF ameshapiga hat trick saa nyingi tu.
 
Ahh aise

Ova
 
Kimsingi wanawake hakuna wanachofanya makaburini kwahiyo hakuna umuhimu wa wao kujaza magari kwenda kutembea makaburini wakati wazikaji wanakosa seat.

Wanawake wanafamilia waislamu huwa wanakwenda kuona kaburi siku inayofuata asubuhi.
Labda waliyoenda waliishia pembezoni nje huko...si unajuwa misiba kama hii kila mtu anataka kuuza nyago 😄

Ova
 
Mbona Kashamaliza, kasema wanawake hawakatazwi hakuna hiyo kitu kwenye Qur'ani, hadithi ni porojo tu, mazishi ni faragha ya familia hata wanaoingia kwenye kaburi wanateuliwa.

Hii ngoma lishangazi FF ameshapiga hat trick saa nyingi tu.
Kijana nani kakwambia hadith ni porojo? hadithi ni maelekezo ya mtume kwa waumini, mwanamke hawezi kubeba jeneza wala kuingia ndani ya kaburi, ila anaweza kukaa pembeni kwa utulivu wakati wa kuzika
 
Kimsingi wanawake hakuna wanachofanya makaburini kwahiyo hakuna umuhimu wa wao kujaza magari kwenda kutembea makaburini wakati wazikaji wanakosa seat.

Wanawake wanafamilia waislamu huwa wanakwenda kuona kaburi siku inayofuata asubuhi.
Kutembelea makaburini ni jambo muhimu kwa wote wanawake na wanaume ,maana inakukumbusha kuwa maisha ni mapito na Mungu anakuona
 
Back
Top Bottom