Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Kuhudumiwa raha saaaana asikwambie mtu yaaan upate mme anaejua wajibu wake acha wazikimbilie hizi ndoa
 
Tafsiri ya Ndoa ni nini? - ndo inawasumbua wanawake wa kileo.

Maana unakuta binti ana wanaume 5 na anafanya nao ngono - bado analilia ndoa.

Binti Anayeishi na mwanamme tiyari- naye analilia ndoa.

Yaani unashindwa kuelewa ndoa ina maana gani kwao?
 
Ghafla tu kila mwanamume ana kipato, anatunza mkewe na mkewe kafuata ajira ndoani na ana mali siku akifa mkewe anacho cha kurithi.

We listen, we don’t judge 😀

Vipi kuhusu wanawake walioolewa na wanavipato zaidi ya waume zao? Vipi kuhusu wale watoto wakishua nao wanaoolewa wakapate ajira? Again Vipi kuhusu neno “Single mother walio ndoani”? na hawalalamiki wanaendelea na maisha yao sababu wanajua wanachopata kwa waume zao, Wao je?

Tusiwaweke wanawake wote kwenye fungu moja, Kwa wengine it’s more than that Japo ni kweli kuwa kuna akina sisi ambao tunaolewa ili tupate ajira, tunaolewa sababu hatuna pakuishi na hatuna chakula 😂

Halafu bichwa we sio wakujadili mambo ya ndoa bwana, jadili yale mambo yako.
 
Source ya income ya wachungaji na waganga na sometimes wanapita nao. Wanategemea miujiza huku wakisahau kujifanyia analysis tabia zao ambazo zimewachelewesha kuingia ndoani, unakuta binti anasema kaokoka ila tabia zake ni zilezile.
 
Kwani ww haujui kuwa ndoa ni ajira kwa jinsia Ke?

Ukirudia kuuliza tena swali kama hili nakupiga na Rungu.

View attachment 3162055

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
ajira gani wakati wanawake siku hizi wana miradi yao, huoni VICOBA na vikundi vyao vya kupeana hela kwa zamu? pia angalia kwenye magenge maarufu kama soko mjinga wamejaa wenyewe watupu wanauza mbogamboga, matunda na vitu vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…