Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

Hawa majamaa nilisha wapigia saluti.

1.Wanaongoza kwa kuzaliana.

2.Wanaogoza kwa uzalishaji wa mazao,mfano wanalima sana mikoa ya katavi,moro,mbeya,lindi kigoma na sehemu nyingine.

3.Wamesambaaa mkoa mingi sana,ndo maana mtanzania yyte lazma awa jamaa awajue either urafiki or kimapenzi.

4.Wanapenda kurithisha lugha yao kwa makabila mengine,hawana uchoyo wa lugha.

5.Wafanyabiashara huwa wanafurahi kupata wateja wa kisukuma,coz huwa awana bargaining sana ya bei,kama ameipenda bidhaa yako kutoa hela hawana shida..

6.Suala la mahusiano,awa jamaa wako loyal sana kwa jinsia zote mbili,tatzo la kibongo, mtu akiwa mtoaji sana wa chochote kile unaonekana bwege,fala,mshamba na maneno mengi ya kejeli.Lakin mtu ukiwa sio mtoaji unaoneka mjanja,msela na sifa nyingi pia.

Kwa iyo ktk kufuatilia sana apa bongo msukuma anaonekana ni mshamba, zuzu,bwege na kejeli zingine kutokana na utoaji (sio mbanifu) anaofanya kwa makabila mengine.

Mimi nina positive perception kwa awa majamaa,naomba wasukuma msibadilike na sifa yenu nzuri muendelee ivo ivo.
 
Wasukuma ni mabogazi mengi huwa yanatelekeza familia kwaajili ya kuhonga ndo maana familia nyingi za usukumani zimelelewa ujombani wengine hata majina wamebadili

Hata hapa Dar mabinti wengi wa kisukuma wamekimbia ndoa zao mwanza sababu kubwa ni msukuma kuhonga kipato chote Hadi mazao na mbegu Hadi njaa inaingia nyumbani.
 
Hakika msukuma anaweza akawa zuzu kwa wanawake hata 10 kwa wakati mmoja na akajifaidia mbususu zake zote hizo bila tabu na ukichomchoka utajiondoa mwenyewe kwenye circle yake hatokuacha.
 
jambo la kutelekeza familia sio kw msukuma tu ata kabila zingine pia huna really justification ya point zako,.

usiwe na mtindio wa ubongo kukariri eti wasukuma ni mazuzu,ata kabila lako wanaume pia wapo wanao honga na kutelekeza familia
 
Hakika msukuma anaweza akawa zuzu kwa wanawake hata 10 kwa wakati mmoja na akajifaidia mbususu zake zote hizo bila tabu na ukichomchoka utajiondoa mwenyewe kwenye circle yake hatokuacha.
Sahihi! Wanajua exactly wanachofanya na probably hiyo ndio furaha yao.
 
Ni washamba wa wanawake a.k.a simp.
 
1.Show show zakibabee
2.Kwetu kuhonga sio shidazetu,zinachorwa na zinaliwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

NB: Wewe ambae huhongi ,unamiliki Nini Duniani?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
 
Hayo maneno yakwako wenginehatujabahatika kuyasikia.
 
Hongera mkuu naona unatumia smartphone sasa

Umetimiza ndoto yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ