Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

Kama sio Pascal Mayalla basi ni kaka yake
  1. Kwanza ni kweli sisi Wasukuma ni watoaji wazuri sana wa pesa, na sio tunatoa kwa wanawake tuu, Wasukuma ni vimwaga!, hakuna rais wa Tanzania, amemwaga pesa kama yule Msukuma!.
  2. Kufuatia wanawake wengi wanapenda pesa, na Wasukuma tuna pesa, kwetu pesa ni makaratasi tuu, tunawamwagia!.
  3. Ukiondoa kumwaga pesa, wanaume wa Kisukuma ndio tunaongoza kwa kupenda, mi mwenyewe nikiwa RTD enzi hizo mishahara inalipwa dirishani, niliwahi kulipwa na hapo hapo nikaipeleka bahasha yenyewe nzima nzima kwa cheupe fulani hapo hapo RTD!.
  4. Kufuatia kula vyakula vya kiasili vya kushiba, yale mengineyo... Sii haba!.
  5. Wazee wetu wa enzi zile, ilikuwa ni mke mkubwa anatafuta wenzake wa kusaidiana! maana...!, ndio unakuta mtu ana wake mpaka zaidi ya 10!, mimi mwenyewe hapa nilipo sii haba!. Niliwahi kumshauri yule Blaza wangu. "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
 
Wanawake wa wapi hao.
 
Hahahha mkuu upo sahihi sana
 
Wasukuma wana honga sana bila kujitafakari hasa mwanamke akiwa mweupe. Mwanamke akibana sauti tu anatoa mpaka urithi
 
Ni kwa sababu wasukuma ni watoaji na siyo tegemezi wala wezi kama hayo makabila mengine kama wapare na wachaga. Wakurya si unajua ushari wao.
Wasukuma ni mafala sana. Unauzaje ng'ombe ili uhonge na upendwe na mwanamke mweupe
 
Wasukuma wamesambaa mikao michache tu. Jamii iliyo sambaa sana tz ni wachaga hakuna mji utafika tz ukose mchaga/mangi
 
Wasukuma wengi ni mazuzu kwenye mapenzi,na wanawake wanapenda wanaume ambao ni mabumunda yasiyojielewa.
Sasa ndugu yangu hao wachaga au wakurya mziki wao si unaujua?
Lakini wasukuma ambao wewe unadai ni mabumunda huwa na wanawake wengi na huzaa uzao mkubwa.Msukuma akiwa na pesa ni ngumu awe na mwanamke mmoja
Hilo unaliongelea vipi?
 
Hakika wasukuma sketi wanapenda hilo sikupingi , na ukarimu kwa walichonacho wamejaaliwa
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…