Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

Wasukuma hatuna choyo kwa kweli na pesa tunaipata cos kazi tunafanya kwa akili na bidii sana.
Wasukuma tupo juu na tutakaa juu zaidi
 
Unyelile madamo gako

Rudia tena hahaha
 
Hawa majamaa nilisha wapigia saluti.

1.Wanaongoza kwa kuzaliana.
Ni kweli... Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
Hatubadiliki!.
P
 
Nasikia huko Mjini, mwanamke akijua wewe ni MPARE Ndio mahusiano yanaisha Hapo Hapo. Duh sijui tumekosea wapi Aiseee


Na wapate nao huwa ni wajanja hujawahi kuzani ,
Wakati wa kutongoza kama anamtaka mwanamke atamhonga Hela nzuri tu atakayokuwa anaombwa lakini akishaoa na kuweka ndani ameshamaliza kazi 😆😆😆
mwanamke utatia akili nakwambia .
Na wanawake wengi Hasa wale wa kuolewa mke wa pili au watatu ndio huongia huo mkenge wakati ukute bimkubwa hana hamu kwa ubahili wa Mwanaume .
Yaani kama ndio mama wa nyumbani ndio utajona 😛😛
Hela ya kula atatoa ya mahitaji ya msingi lakini Eti sijui Naomba Hela nikanunue kile na hiki aaah wapi sahau 😆😆😆
 
Kwani hujui maana ya kusukuma?
Huyu hapa👇 anaifanya nini hiyo pump

 
Aisee 😂
 
QUOTE="binti kiziwi, post: 52724380, member: 238649"]
Kwasababu wasukuma wanataniwa kwenye mambo mengi, hata nao hupenda kujitania, anajitaja like tulia hapa kwa li-ngosha na vitu kama hivyo.

So nafikiri ni katika harakati za kuwataja kwa utani waliozeshana.

Best men so far, After watu weupe duniani wanafata Ngosha kwa asilimia nyingi.

Ila ndio wanapenda sketi hao……!
[/QUOTE]
Mimi kama msukuma nakubaliana nawewe kwenye swala sketi mi natamani sana kuacha hzi sketi Ila wewe 🤣
 
nadhani, watani zangu wasukuma hata akizaliwa mjini, ni watu humble sana, rahisi kudanganyika, na mara nyingi hawatumii ubongo, si unakumbuka alivyokuwa jiwe! ukimwangalia kwa makini utajua ni lilimbukeni fulani hivi la kulionea huruma tu. ila majority ni watu wema na hawapendi ugomvi.
 
Acha uongo
 
Wwe uliwahi Ona maghufuli anatoa hela
Magufuli si Msukuma, alijinadi tu Usukuma.

Wasukuma ni kabila kubwa, sasa kuna vikabila vidogo vidogo vingi vinavyowazunguka Wasukuma, watu wao wakijua kusema Kisukuma tu na wao wanajiita Wasukuma.

Nduo kina Magufuli hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…