Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

Mbona wanawake wa zamani walitumia Marhamu?

Haya yalikuwa ni kama marashi Sasa...

Vikuku ambavyo alipewa Rebecca na Pete ya puani au hazama...
 
Mbona wanawake wa zamani walitumia Marhamu?

Haya yalikuwa ni kama marashi Sasa...

Vikuku ambavyo alipewa Rebecca na Pete ya puani au hazama...
Manukato ni Kweli yalikuwa yakitumika, na tangu zamani, wanawake wamekuwa Wahanga wa mapepo kupitia lango Hilo la mapambo.

Roho mtakatifu anafunua Kweli yote sasa Ili kujitenga na mashambulizi.

Brands nyingi kubwa kubwa za manukato zinabuniwa na mapepo kule kuzimu kavu na Ulimwengu wa giza, hivyo mwana wa Mungu kuzitumia unajiweka kwenye hatari.

Pia Si wote Wana uwezo kutofautisha manukato yenye kuvuta mapepo na ambayo hayavuti mapepo, hivyo BUSARA ni kupaka mafuta kawaida.

Pia vikuku na Pete za puani tangu zamani vilikemewa, havina uhusiano na Mungu Bali IBADA za sanamu.

Rebeka familia yake ilikuwa na Mila za kiasili za kipagani kama Abram alivyokuwa mpagani kabla ya kuitwa na Mungu.

Wanawake Waliostuka na kuacha mawigi na mapambo, hawana tena vita ya Kila kukicha kufukuza mapepo.

Amen
 
Shetani yupo karibu na wao....wachawi wakubwa karibia wote ni wanawake. Watu wenye roho mbaya na wakatili ni wanawake, waongo kupitiliza ni wanawake, wambea ni wanawake, wanaojiuza ni wanawake, kuna la ziada?
 
Vikitakaswa kwa damu ya YESU pia haviwezi kutumiwa?

Damu ya YESU inasafisha na kuondoa mapepo...
 
Shetani yupo karibu na wao....wachawi wakubwa karibia wote ni wanawake. Watu wenye roho mbaya na wakatili ni wanawake, waongo kupitiliza ni wanawake, wambea ni wanawake, wanaojiuza ni wanawake, kuna la ziada?
Ni Kweli,

Bt pia ndo waliotuzaa na kutukuza.

Ni muhimu wanaume kama viongozi kuwashape wanawake Ili wasiharibu uzao ujao.

Amen
 
Ni Kweli,

Bt pia ndo waliotuzaa na kutukuza.

Ni muhimu wanaume kama viongozi kuwashape wanawake Ili wasiharibu uzao ujao.

Amen
Mwanamme atafanya hivyo ila kuna usiku pia. Mtu umelala au umelishwa midawa na mkeo ili ulale fofofo, yeye yuko zake na ungo angani anakwenda shopping Uingereza au Marekani kununua viungo vya wazungu ili uchawi wake uwe juu zaidi.
 
Ni Kweli,

Bt pia ndo waliotuzaa na kutukuza.

Ni muhimu wanaume kama viongozi kuwashape wanawake Ili wasiharibu uzao ujao.

Amen
Mwanamke mchawi harekebishwi mpaka ajiue mwenyewe kwa kujipiga na akifa anamwachia uchawi mwanawe wa kike au kajukuu kake ka kike. Aluta continua✊
 
Vikitakaswa kwa damu ya YESU pia haviwezi kutumiwa?

Damu ya YESU inasafisha na kuondoa mapepo...
Chakula ndo kinaweza kutakaswa,

Hirizi Kwa Mfano uliyopewa na bibi Yako, unaweza kuitakasa Kwa maombi na kuendelea kuivaa?

Mawigi kamwe hayatakasiki, sababu ni vitu bandia vinavyomtukana Mungu na kumfanya aonekane aliumba Kwa kukosea.

Mapambo pia hayatakasiki Kwa maombi. Utayafukuza mapepo Leo yanatoka, kesho yanarudi.

Ukiacha mapambo, mapepo yanakosa mlango wa kukuingia na kukutesa.

Jambo Hilo ni gumu sana kukubaliwa na wanawake, lakini ndo UKWELI wenyewe lazima usemwe ulivyo.

Wachungaji na manabii wa siku hizi wanaogopa kukemea mapambo na mawigi sababu hata wake zao wanavaa.

Bt Mungu UKWELI wake Huwa umenyooka haupindishwi!!

Amen
 
Mungu tusaidie
 
mbali na mapepo kuna kitu umenifunua ubalikiwe
 
Mwanamme atafanya hivyo ila kuna usiku pia. Mtu umelala au umelishwa midawa na mkeo ili ulale fofofo, yeye yuko zake na ungo angani anakwenda shopping Uingereza au Marekani kununua viungo vya wazungu ili uchawi wake uwe juu zaidi.
Na mara nyingi chanzo Cha wanawake kuwa wachawi ni hayo hayo mapambo na nguo nusu uchi wavaazo, wanajikuta wanapata waume majini,

Watahangaika nayo weee wakienda Kwa Waganga kutafuta solution ndo wanapewa uchawi na kujikuta wanaanza kuroga.

Waume tusimame kuhakikisha wake zetu na familia zinamuelekea Mungu.

Amen
 
Mh! Mkuu Leo umeniacha hoi...

Uchawi wengi wao hupewa wakiwa tumboni yaani mimba na wengine wakiwa wadogo...

Mfano.. mama anampa mwanae au mjukuu..
Uchawi unatokana na watu wa karibu yao ndio huwapa...

Wapo wanapewa na marafiki na jirani pia...

Hao wanaopewa uchawi kama ni wanawake huvaa sura za kupendeza
 
Nakataa soma hii kisa kidogo tu.

Kuna mwanadada alikuwa mtoto wa mchungaji alikuwa hajui cha waganga tokea azaliwe. Sasa katika ukuaji wake ulikuwa mgumu sana . Katika magonjwa , na kuolewa alihangaika na maombi sana . Ika iligonga mwamba . Akaja kupata rafiki akampeleka kwa waganga alikata maana anaamini ni mbaya kwa halizile alikubali ila hajawahi kufanya ulioandika ila alikutwa na .

Majini sio haba vifungo , na mambo kibao so maisha ni mtu anamuharibu mtu kwa kumtupia mambo machafu
 
Birds with same feather flock together
Usipochukua hatua ukaacha yaendelee, mkeo atakuwa mchwi na utapotezwa.

Stuka, wanaume tupo vitani.

Turudi kwenye mstari, tusimamie Maadili ya Mungu katika familia zetu.
 
Ni Kweli usemayo,

Bt Nina ushahidi wa wanawake waliokiri kufundishwa uchawi walipoenda Kwa Waganga kutafuta suluhu za NDOA,magonjwa ya kipepo au kutafuta ulinzi.
 
Ni Kweli usemayo,

Bt Nina ushahidi wa wanawake waliokiri kufundishwa uchawi walipoenda Kwa Waganga kutafuta suluhu za NDOA,magonjwa ya kipepo au kutafuta ulinzi.
Nikweli haya pia...

Ila mawigi na mavazi hayamfundishi mwanamke uchawi...

Ila kama alivaa nguo au wigi ya mtu mchawi anaweza beba roho
 
Nakubaliana na ulichosema,

Pia mada ya Leo Iko wazi kuwa mapambo na mavazi, wigs, USHIRIKINA ni mojawapo ya vyanzo vya wanawake wengi kushambuliwa na mapepo,

Ziko sababu zingine zinazosababusha wanawake kushambuliwa bt sitaziongelea.

Pia nakataa, Wanawake kwenda Kwa WAGANGA kupata suluhu ya matatizo Yao.

Huyo aliyeshindwa Kwa maombi, hakuwa mvumilivu, Maombi ni silaha kuu, haijawahi shindwa. Ni muhimu kuwa mvumilivu.

Hakuna mganga anayemtumikia Mungu, ni maagent wa shetani. Kwenda huko ni kutafuta ugomvi na Mungu.

Amen
 
Mwanzo (Gen) 3:14
BWANA Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

(Wanawake ndio wanaoenda zaidi kwa waganga wa kienyeji kwa shida zao nyingi.
Huko ndiko wanako tupiwa hao wadudu wachafu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…