Kwanini wanawake wawe na siku yao (Women's Day) na si wanaume?

Mdau amani kwako.

Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'...
Inasemekana wanaume nao walikaa kikao kuamua siku yao iwe lini, matokeo yake walibishana siku nzima mwisho wa siku kikao kikavurugika hawakufikia mwafaka wakasambaratika na kila mtu akachukua njia yake kwa hasira mpaka leo
 
Afadhali hii siku ipite maana kelele za siku ya wanamke duniani zishanichosha wanapenda kupendelewa tu yaan hata kama mnaazama majini mkija kuokolewa huwaga wanaanza kuokolewa wao yaan kama wanaume hatuna umuhimu on top of that bado wanaka haki sawa
 
Afadhali hii siku ipite maana kelele za siku ya wanamke duniani zishanichosha wanapenda kupendelewa tu yaan hata kama mnaazama majini mkija kuokolewa huwaga wanaanza kuokolewa wao yaan kama wanaume hatuna umuhimu on top of that bado wanaka haki sawa...
Kuna meli ilikuwa ikizama nchini Chile na watu takribani 237 hivi. Wanaume na waokoaji walisema ni "50 kwa 50, sote tuna uwezo sawa". Wanawake wengi walipoteza maisha katika ajali hiyo.

Viongozi wa juu wa Chile walikaa kimya kwa siku tatu, wanawake wengi walivyouliza. Viongozi hao wakasema serikali haihusiki na vifo vyao bali waokoaji, na waokoaji wakadai binadamu wote wana uwezo sawa hivyo kila mtu ilifaa apiganie maisha yake.

Tangu hapo wanawake nchini Chile regards nafasi yake, elimu yake na pesa anazopokea kutoka sehemu mbalimbali bado anapagania haki zake stahiki na za haki bila kujilingania.
-
#NOTE: Nakubaliana na wanawake kuwa na siku yao, nakubaliana na wanawake kutafuta haki zao lakini sikubaliani na wanawake kupambana na kuwakandamiza jinsia ya kiume.
 
Hili somo analiweza Polepole
Taratibu na hao wenzake wote akili zao sawa tu, hebu sikiliza hapo alafu pima bongo zao 👇🏿.
 
Nadhani kuna Fathers day kama sikosei
Na hiyo ndio inayotuwakilisha sisi wanaume sorry kwa wale ambao hamjaanza kuitwa Baba

Ila sijawahi kusikia Mens day labda ni uvivu wangu tu wa kusoma
 
Mdau amani kwako.

Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'.

Mwanzoni wakati dunia ikiwa na amani na upendo Adamu na Hawa walijiona kuwa wenye kufanana na wakiwa na majukumu tofauti kulingana na maelekezo waliyopewa na Allah.

Baadaye kidogo kuna vita ya kimamlaka ambayo leo ndiyo inasumbua dunia kupelekea umoja wa mataifa kutumika kuiweka siku maalum ya mwanamke, hebu tuone kwa ufupi hapa chini.

Tunaambiwa Hawa alikuwa ni mwenye furaha akiwa upande wa mumewe katika nyumba yake pale Edeni; Lakini kama mwanamke wa kisasa alianza kujikweza ili kuchukua nafasi ya juu kuliko ile ambayo Mungu alimpa.

Wanawake wote ambao hawataki kuyabeba kwa furaha majukumu yao ya maisha kwa mujibu wa mpango wa Mungu, katika jitihada zao za kufikia nafasi ambazo hazijawekwa kwa ajili yao wataangukia pua na wengi wanaacha mahali ambapo wanaweza kuwa baraka na kwa tamaa yao ya kutaka kuwa juu, wengi wamepoteza dhabihu ya kweli ya 'kike' na utukufu wa tabia, na wameacha kufanya kazi ambayo mbinguni iliwachagulia.

Kutokana na hilo nagundua kuwa maandiko hasa Mwanzo 2:23 "Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume"

Hapo ilionyesha uwezo unaanzia kwa Adam sababu ndiye alipewa mamlaka ukianzia Genesis verse 21 unaona adam anaandaliwa ili kupewa msaidizi na siyo kiongozi.

Kuna maadili ya siri yaliyo'undwa' ili kutengeza njia rahisi ya kuja kuitawala dunia ambayo ilionekana kupitia mwanamme inakuwa ngumu sana, sababu nature ingali inafanya kazi, hivyo wazee wa secret agenda wakaona watumie ushawishi wa mwanamke, ambaye leo ndiye huyu MODERN EVE anaye andaliwa kuja kurahisisha kazi.

Nawasilisha.
kati ya siku 365 , siku 1 ni ya wanawake, 1 ya watoto, 1 ya wazee na 361 ni za wanaume.
 
Mboma jibu unalo mkuu? Mwanamke katoka kwenye ubavu wa mwanaume kama maandiko yanavotuambia.
 
Beijing women's conference 1995 ndiyo chanzo.hata viti maalum bungeni vilitokea huko lengo likiwa ni kufikisha 50-50 japo kina Ndugai wanahisi ni offer
 
Umeelewa nilichoandika au umeniuliza kutokana na nilichoandika?
 
Mkuu na wewe unataka uwe na siku zako?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Beijing women's conference 1995 ndiyo chanzo.hata viti maalum bungeni vilitokea huko lengo likiwa ni kufikisha 50-50 japo kina Ndugai wanahisi ni offer

No. Beijing haikuwa chanzo ila walikuja kukazia tu.

Chanzo cha hii kitu ni huyu hapa mkuu👇🏿 anaitwa Clara Zatkin.
1615266695471.jpg

Mwaka 1909 huyo mama alipendekeza kuanzishwa kwa siku ya Wanawake ambapo mataifa 10 yalikusanya Wanawake na kusherekea ilikuwa mwaka 1911.

Na ilipofika tarehe 08.03.1975 Umoja wa mataifa uliridhia siku hii kutumika rasmi ambapo lengo likiwa ni kuikumbusha jamii duniani kote juu ya haki za kinamama/wanawake.
 
Back
Top Bottom