Hivi in Siku ya wanaume duniani au ni father's day,yaani Siku ya wababa duniani.Hata ya wanaume ipo. Tatizo sisi mambo ni mengi hadi tarehe yenyewe ikifika hujui kama ndio yenyewe
Wanaume hawana shida sana hata hiyo siku yao imewekwa makusudi ili kuficha kilicho ndani ya siku ya wanawake.Hivi kweli wanaume imefikia wanaume waleo tunaomba tuwe na siku yetu kweli,ili iweje?,
Siku hiyo na sisi tuletewe maua mekundu ama?.HATUITAKI kwa niaba ya marijali wote.
Wanaita siku ya wababa dunianiHivi in Siku ya wanaume duniani au ni father's day,yaani Siku ya wababa duniani.
Kuna fathers day (siku ya baba) na tunayo mens day(siku ya wanaume duniani),jifunzeni kusoma watz, Google is your friend.Wanaita siku ya wababa duniani
Hivi in Siku ya wanaume duniani au ni father's day,yaani Siku ya wababa duniani.