Inasemekana wanaume nao walikaa kikao kuamua siku yao iwe lini, matokeo yake walibishana siku nzima mwisho wa siku kikao kikavurugika hawakufikia mwafaka wakasambaratika na kila mtu akachukua njia yake kwa hasira mpaka leoMdau amani kwako.
Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'...
Marekani na Ulaya wakaona isiwe taabu wanaume wakaamua kupinduana wenye ndevu kwa wenye ndevu "I am glad to introduce my husband"Wanataka Haki usawa jambo ambalo mungu hataki
Kuna meli ilikuwa ikizama nchini Chile na watu takribani 237 hivi. Wanaume na waokoaji walisema ni "50 kwa 50, sote tuna uwezo sawa". Wanawake wengi walipoteza maisha katika ajali hiyo.Afadhali hii siku ipite maana kelele za siku ya wanamke duniani zishanichosha wanapenda kupendelewa tu yaan hata kama mnaazama majini mkija kuokolewa huwaga wanaanza kuokolewa wao yaan kama wanaume hatuna umuhimu on top of that bado wanaka haki sawa...
Taratibu na hao wenzake wote akili zao sawa tu, hebu sikiliza hapo alafu pima bongo zao ππΏ.Hili somo analiweza Polepole
Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume. Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara...www.jamiiforums.com
"Unaweza tu simama" amesikika akisema, kisha akaendelea kumtazama kwa umakini baada ya kusimama huku akitabasamuπTaratibu na hao wenzake wote akili zao sawa tu, hebu sikiliza hapo alafu pima bongo zao ππΏ.
View attachment 1720534
π€£Wamefilisika mawazoTaratibu na hao wenzake wote akili zao sawa tu, hebu sikiliza hapo alafu pima bongo zao ππΏ.
Usijitie kusahau.Hata sisi wanaume tuna siku yetu! Ni tarehe gani sijui ile!! Sema tu sisi ni wapuuziaji tofauti na hao wenzetu.
kati ya siku 365 , siku 1 ni ya wanawake, 1 ya watoto, 1 ya wazee na 361 ni za wanaume.Mdau amani kwako.
Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'.
Mwanzoni wakati dunia ikiwa na amani na upendo Adamu na Hawa walijiona kuwa wenye kufanana na wakiwa na majukumu tofauti kulingana na maelekezo waliyopewa na Allah.
Baadaye kidogo kuna vita ya kimamlaka ambayo leo ndiyo inasumbua dunia kupelekea umoja wa mataifa kutumika kuiweka siku maalum ya mwanamke, hebu tuone kwa ufupi hapa chini.
Tunaambiwa Hawa alikuwa ni mwenye furaha akiwa upande wa mumewe katika nyumba yake pale Edeni; Lakini kama mwanamke wa kisasa alianza kujikweza ili kuchukua nafasi ya juu kuliko ile ambayo Mungu alimpa.
Wanawake wote ambao hawataki kuyabeba kwa furaha majukumu yao ya maisha kwa mujibu wa mpango wa Mungu, katika jitihada zao za kufikia nafasi ambazo hazijawekwa kwa ajili yao wataangukia pua na wengi wanaacha mahali ambapo wanaweza kuwa baraka na kwa tamaa yao ya kutaka kuwa juu, wengi wamepoteza dhabihu ya kweli ya 'kike' na utukufu wa tabia, na wameacha kufanya kazi ambayo mbinguni iliwachagulia.
Kutokana na hilo nagundua kuwa maandiko hasa Mwanzo 2:23 "Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume"
Hapo ilionyesha uwezo unaanzia kwa Adam sababu ndiye alipewa mamlaka ukianzia Genesis verse 21 unaona adam anaandaliwa ili kupewa msaidizi na siyo kiongozi.
Kuna maadili ya siri yaliyo'undwa' ili kutengeza njia rahisi ya kuja kuitawala dunia ambayo ilionekana kupitia mwanamme inakuwa ngumu sana, sababu nature ingali inafanya kazi, hivyo wazee wa secret agenda wakaona watumie ushawishi wa mwanamke, ambaye leo ndiye huyu MODERN EVE anaye andaliwa kuja kurahisisha kazi.
Nawasilisha.
ππKila tatizo kubwa duniani lina siku yake. Ukimwi, Maralia, Saratani, Mwanamke..etc
Mboma jibu unalo mkuu? Mwanamke katoka kwenye ubavu wa mwanaume kama maandiko yanavotuambia.Mdau amani kwako.
Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'.
Mwanzoni wakati dunia ikiwa na amani na upendo Adamu na Hawa walijiona kuwa wenye kufanana na wakiwa na majukumu tofauti kulingana na maelekezo waliyopewa na Allah.
Baadaye kidogo kuna vita ya kimamlaka ambayo leo ndiyo inasumbua dunia kupelekea umoja wa mataifa kutumika kuiweka siku maalum ya mwanamke, hebu tuone kwa ufupi hapa chini.
Tunaambiwa Hawa alikuwa ni mwenye furaha akiwa upande wa mumewe katika nyumba yake pale Edeni; Lakini kama mwanamke wa kisasa alianza kujikweza ili kuchukua nafasi ya juu kuliko ile ambayo Mungu alimpa.
Wanawake wote ambao hawataki kuyabeba kwa furaha majukumu yao ya maisha kwa mujibu wa mpango wa Mungu, katika jitihada zao za kufikia nafasi ambazo hazijawekwa kwa ajili yao wataangukia pua na wengi wanaacha mahali ambapo wanaweza kuwa baraka na kwa tamaa yao ya kutaka kuwa juu, wengi wamepoteza dhabihu ya kweli ya 'kike' na utukufu wa tabia, na wameacha kufanya kazi ambayo mbinguni iliwachagulia.
Kutokana na hilo nagundua kuwa maandiko hasa Mwanzo 2:23 "Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume"
Hapo ilionyesha uwezo unaanzia kwa Adam sababu ndiye alipewa mamlaka ukianzia Genesis verse 21 unaona adam anaandaliwa ili kupewa msaidizi na siyo kiongozi.
Kuna maadili ya siri yaliyo'undwa' ili kutengeza njia rahisi ya kuja kuitawala dunia ambayo ilionekana kupitia mwanamme inakuwa ngumu sana, sababu nature ingali inafanya kazi, hivyo wazee wa secret agenda wakaona watumie ushawishi wa mwanamke, ambaye leo ndiye huyu MODERN EVE anaye andaliwa kuja kurahisisha kazi.
Nawasilisha.
Beijing women's conference 1995 ndiyo chanzo.hata viti maalum bungeni vilitokea huko lengo likiwa ni kufikisha 50-50 japo kina Ndugai wanahisi ni offerMdau amani kwako.

Beijing women's conference 1995 ndiyo chanzo.hata viti maalum bungeni vilitokea huko lengo likiwa ni kufikisha 50-50 japo kina Ndugai wanahisi ni offer