Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Ndio. Tunaachwa tunaoga tunarudi sokoni tunapata mpya. Tanga kuolewa mara kadhaa sio issue kabisa; bibiangu Binti Abdillahi aliolewa mara 6.
Sababu ya kuachwa achwa ni fashion ya Tanga?.

Au mke ana sababu zipi hata awachwe mara 4 hadi kufikia cheo cha kuolewa cha bint Abdallah cha mara 6.
 
Magnetism ndo Ina play role kubwa kuamua MTU awe na nani karibu.


Ndo maana kuna wanawake wengi wanapata wanaume Ila hawana uwezo wa kuwatuliza ili hao wanaume hadi wawaoe the same kwa wanaume
Unamaanisha wanawapata wasioweza kuwatuliza kwasababu na wao hawatulii kirahisi?
Au unamaanisha mwanamke muovu atakuwa na mwanaume mwovu?
 
Toa mfano
 
Kuna wanawake ni wazuri kwa wote mzee , yani mimi namuona mzuri na wewe hivyo hivyo sema hiyo ya uzuri upo machoni mwa mtu huwa ni kujifariji tu.
Ndonshasema ivo, hakuna mwanamke mzuri kwa watu wote duniani hayupo.

Iwe kwa sura, tabia na mambo mengine hayupo.
 
Nimesoma kwa uchungu mpaka nmetetemeka!
Natengua kauli mimi ni Gorilla sio hata mzuri..
Anyway: Uwe mke wa mtu uwe malaya " Dunia tunapita" kila mtu ashike 50 zake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ