Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliNani anataka shamba la kupambana na nzige kila mara?
Urembo wenye ulimbo ni changamoto kwa mwenye nao na sponsor wake. Hakuna aliye salama
Market value yao ni kubwa, yaani sia kwamba wanakataa ila ule uhakika wa kupata mwanaume anytime ndio unawapa kiburiIvi ushawahi kujiuliza kwanini
1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume?
Namaanisha
A. Mzuri wa umbo
B. Mzuri wa kili
C. Mzuri wa utafutaji
D. Mzuri wa Dini
E. Mzuri wa Tabia na maadili
Yani awe na vitu vyote 5 hapo juu,
Hao wanawake wanakuwaga hawapatikani kirahisi kwa wanaume hata kama mwanaume ana hela
Ushawahi kujiuliza ni kwanini?
Kiru
Shule zimefungwa njoo toa mchangoNimefanyaje
Kwa mara ya kwanza mtu ame comment kitu cha maanaMarket value yao ni kubwa, yaani sia kwamba wanakataa ila ule uhakika wa kupata mwanaume anytime ndio unawapa kiburi
Lakini as kawaida, market yao huwa ina depreciate haraka aka the wall, ama na muda. Wakati kwa wanaume muda unavyozid kwenda ndio ubora unazidi kuongezeka ( if akijitunza)
😂😂😂Umeleta sunamiIvi ushawahi kujiuliza kwanini
1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume?
Namaanisha
A. Mzuri wa umbo
B. Mzuri wa kili
C. Mzuri wa utafutaji
D. Mzuri wa Dini
E. Mzuri wa Tabia na maadili
Yani awe na vitu vyote 5 hapo juu,
Hao wanawake wanakuwaga hawapatikani kirahisi kwa wanaume hata kama mwanaume ana hela
Ushawahi kujiuliza ni kwanini?
Aaaaaahhh wapi. Mnawafananisha tuWamejaa kibao sema unaishi uswahilini
Nipo boardingShule zimefungwa njoo toa mchango
My love 😘 Money PennySio kweli
Babe
A mpaka D mbona wanaliwa sana, halafu wanaokataa wanaume ni wanawake wa kawaida sana, hao wazuri wa shape hata shule huwa hawamalizi wanajazwa mimba au huo utafiti umeufanyia wapi? Tanzania hii hii?Ivi ushawahi kujiuliza kwanini
1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume?
Namaanisha
A. Mzuri wa umbo
B. Mzuri wa kili
C. Mzuri wa utafutaji
D. Mzuri wa Dini
E. Mzuri wa Tabia na maadili
Yani awe na vitu vyote 5 hapo juu,
Hao wanawake wanakuwaga hawapatikani kirahisi kwa wanaume hata kama mwanaume ana hela
Ushawahi kujiuliza ni kwanini?
UweeAaaaaahhh wapi. Mnawafananisha tu
Zimefungwq zoteNipo boarding
Ni mama yako mzaziHuyo n demu au Jini...Demu gani mwenye vyote ivo
Sa warembo wakaolewe na nanMy love 😘 Money Penny
Duniani humu, wanaume wachache sana wanayo haiba ya kutulia na kumtuliza mwanamke mrembo mwenye ulimbo!
Sanaa ya kudumu na mrembo ni sanaa adimu mno. Niamini sweetheart. Kwa mfano, mwanamke mrembo bila kujali kuwa ameolewa ama lah, kila siku anapambana na mlolongo wa kutongozwa. Hili ni kero kubwa kwa mwenza wake. Sababu hii ndio sababu kubwa inayolazimisha mwanamke mrembo kuwa selective mno kuhusu mwanaume mwelewa ambaye hatokuwa anamhukumu kila mara anapokuwa akipangua mashambulizi.