Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Acha nidham ya wogaVigezo ulivyovitoa vinatoa vinampa kiburi mwanamke husika na kujiona muda wowote atapata achokihitaji.
Na kukaa na kiumbe wa vigezo hivyo lazima uwe na moyo wa ujasiri sana. Always men are there to rule and not to be ruled na hapo ndiyo mambo yanapoanza huharibika hiyo Sheria ikienda ndivyo sivyo.