Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Sasa wee umejiunga chama la wazinzi alafu hutaki kushare....watu bwana. Wee mruhusu tuu aliwe mbususu huko dating app mbususu yake yakhe wampangia nani wakumpa wakati hujamuoa.
 
Kaka anataka kuhalalisha Muunganiko wako na yeye...... enewei Dunia ina mambo hii.....

Hii kesi kama ya mjomba wangu vile😁
 
Unachipotia ni sawa na nnachopitia Mimi.

Mchepuko Wangu niko nae mwaka wa 3 Sasa.

Binafsi siko tayari kuzaa nae na kwa Sasa mpaka changamoto zake za kitabia zitakaporekebika.

Nina Watoto 3 , yeye Hana hata mmoja.

Anataka kabla hajafikisha 30 awe keshapata mtoto.


Ila chenga nnazompiga kuhusu kuzaa nae
Hata yeye mwenyewe haelewi hili picha nalichezaje.

Kategesha Sana ila mimba hapati ng'oo.
Afu mimi Ndio wa kwanza kumlaumu kwanini hataki kunizalia. Basi ananung'unika anataka mpaka kwenda hospitali kupima.[emoji4]

Cc: Joannah Interlacustrine E
 
Jf kazi sana

Itoe ushauri wa ndoa

Na ushauri wa uchepukaji

Pambana tu...ndio mshahara wa dhambi huo

Kwanza imekuwaje mvhepuko umejua kwako?

Au ndio nyie mkipata michepuko hadi wake zenu mnawasengenya huko???
Ha ha ha ...
Umeamua kumchana makavu
 
Msiwe mnawahi kuhukumu,
Hujui anapata Nini uko kwa Mchepuko wake[emoji4]
 
Ha ha ha...
Usimtishe mwenzio,

Mbona Lyatonga Mrema wiki ijayo anaoa?
 
Wanaume sio kuishiwa nguvu tu za kiume, siku hizi hata akili na moyo wa kiume hatuna tena.
Ni kweli kabisa mkuu. Mleta mada ni mtu asiepungua miaka 45 lakini akili ndio hizi.

Mtot wake wa kwanza (form six) ni 20 years old approximately. Tuseme alimpata akiwa 25 years.
 
Ungekua hujaoa ningesema kausha,sasa ushaoa Mtu anajua yeye cheo yake ni "mchepuko" tu na bado ana insist anataka kid na unamnyima,whyyyyyyyyyy

Pea dada ya watu kitu anataka,acha uchoyo na ubinafsi.
 
Ha ha ha...
Usimtishe mwenzio,

Mbona Lyatonga Mrema wiki ijayo anaoa?View attachment 2159704
🤣🤣🤣 Lyatonga yuko kwenye bodi ya parole. Sasa parole si inahusika na wafungwa? Ukienda kichwa kichwa unaeza swekwa lupango ukapumzishe akili kidogo. Sasa mjuba hapo juu yupo kwenye bodi ya "uchakataji uzeeni", hyo haina hakimu zaidi ya Ustawi na dawati la jinsia. Kule kutoka salama ni mbinde
 
Unakuwa inafanyaje mpaka hanasi?
 
Ha ha ha....
Apo jamaa anapaswa kutumia akili kumkwepa.
 
We sio Wakiume acha uongo hakuna mwanaume mjinga hivi duniani
 
Ha ha ha....
Apo jamaa anapaswa kutumia akili kumkwepa.
Kwa sasa hawezi maana tayari kuna feelings involved hapo kati. Na unachosema ni kweli, inawezekana huko mpango wa kando kapewa vitu adimu ndo maana kafungua moyo hadi mchepuko anajua siri muhimu za kambi.
Mimi nadhani mkuu inabidi uchapishe gazeti huru humu ndani kuelekeza jinsi ya ku-deal na michepuko ili wadau wengine waelewe, maana ule wa kwako umekaa standard juu ya mstari tena bila kelele.
NB: Nangojea mrejesho wa ulichofikiria na kuamua kuhusu yule shemeji anaelalamika unaenda kwake na mchepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…