Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.

Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.

Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.

Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.

Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.

Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.

Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
 
Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.

Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.
 
Hii mada iahajadiliwa sana humu..ila huo ndio ukweli..upande wa wakristo wasichana hufundishwa 50/50 wakati mabinti wa wavaa kobazi hufundishwa kuwa submissive..kuobey kila kitu kutoka kwa mumewe..inagawa nahisi ni kinafiki sana mana wanaliwa sana nje na wnaachika kila uchwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama nitaoa basi nitaoa mwanamke aliyekuzwa kwenye mfumo wa kiislamu..japokuwa mimi ni Mgalatia.
Mademu wetu wakikristo wanachojua wao ni kukuita sijui honey, baby, kujidekeza na kukiss basi hawaendi extra mile kwa wenzao wakislamu alafu wakichitiwa wanaanza kulalamika. Kama unataka kuoa binti wa kislamu omba baba yake asiwe shehe
 
Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.

Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mafunzo ni kwa Mume halali wa ndoa na sio kwa kufanya zinaa,
Zinaa kwenye Uislam ni dhambi kubwa,huwezi kufuata mafundisho ya kidini kuhusu mume kisha ukayatekeleza kwenye zinaa,
Hao wanawake wangekua na mafunzo na kuyafuata wasinge jiingiza kwenye zinaa nje ya ndoa.
 
Hizi promo mnazotumia nguvu kubwa saaana hamna tofauti na jinsi Ke inayopambana kujitangaza kupitia mashirika mbali mbali duniani kuwa wakiwezeshwa wanaweza na pia wana haki sawa na Me.

Kwanini msiache vijiuze vyenyewe huko mitaani badala ya kuja kuvitangaza humu mitandaoni [emoji848][emoji23]
 
Me naona hayo ni malezi, kufundwa and the like.
Mtu kuwa na mapenzi ya dhati has nothing to do with udini…

Mimi nakua najua baba akirudi ikitokea nikamuona hata kuanzia kule nasogea kumpokea na pole juu.

Nimezoea nyumbani kumpa mtu mkubwa glass ya maji na goti lile la mpaka chini unless kama nampa na jug ndio nitamuachia kwa stuli ila lazima nimkaribishe.
Hayo yote na mengine ukiyafanya kwa ambao hawajazoea wanabaki kuona ni vitu next level 😀

Na ni mkiristo kindaki ndaki.
 
Back
Top Bottom